Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Huo ndio umri haswaa, huyu jamaa sijui kala nini aisee. Ukutane na mdada wa 32 hivi anayejua kuutunza mwili wake, hakika hutatamani kubanduka.
Nadhani mleta mada ni kijana wa 90s.
 
Aisseeeeee!!

Jamaa unatema moto mkali kwa dada zetu.

Mwaya muda wenu unaendelea mpaka muingie kaburini.
Mkuu toka huku twende kwenye uzi wetu aseeh kumbe unazurura huku na story huleti sio fair kabisa[emoji12]
 
Yaani wewe ni ZERO huwezi kulinganisha mtu wa 80s an 90s kwenye suala la mapenzi.

Binafsi nawapenda sana watu wa 80s na kushuka chini maana akikupa kakupa yote

Sio hivi vitoto vya 90s ukipiga 1 ya 2 kanakataa, kanasena "usinizeesge" pumbaf
Halafu ni wasumbufu sana
 
Heko to 80s... Live it love it
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom