Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Ninae wa late 80, ananipenda mfano hakuna. Ninaye pia wa 90, usumbufu 100%. Concl. Wa 80' ni bora kuliko wa 90's.80s ndo mpango mzima mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninae wa late 80, ananipenda mfano hakuna. Ninaye pia wa 90, usumbufu 100%. Concl. Wa 80' ni bora kuliko wa 90's.80s ndo mpango mzima mkuu...
Teh teh. Sio revola?Yaani nanukia ayu tu,unazijua?
Baba goma skrepaManeno kuntuuu..jua lishazamaa...ngoma hobela hobelaa...maji yashazidi unga..haibani tenaaa...no mnato at all
Mchumi mahabatUmenikumbusha juzi kuna mtoto nimekutana nae nilidhani anaweza kuwa wa mwaka 1990-1993 mtoto kumbe wa mwaka 2000 kapanda hewani afu bonge la mshepu ndio katoka kumaliza form 4 da nipo kwenye mchakato sasa wa kupata kitu kibichi
Ye hajasema akili kasema mvuto jaman muelewe we wa mwaka ganOld is gold
Wadada wa 80s wamekomaa kiakil ukilinganisha na hao 90s.
Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Hata tuliozaliwa 90-95 hatutaki wanaume aina yako maana bado hujajitambua wee wafwte hao hao wa 2000
Utatuweza wapi sisi wewe nenda Kwa vikojozi wenzako.
Mkuu, I beg to differ... Muone mama Salma na uzee wote ule bado ana hit kuliko vibinti vya born 90! Ni vile tu unavyojiweka na kupunguza dhiki ndogo ndogo na kuish stress free life, bado utang'ara...
Wewe wa miaka ya 80 lazima utamani wa miaka 90
Saivi tuna majukumu ya kimaendeleo na wa miaka ya 70 ndo wanatuona wabichi kabisaa!!! Majukumu yameongezeka nyie endeleeni kuwatafuna wao tuu maana hamna namna ingine
Sisi wa 80s unaotunanga hapa ndio wakwe zako kwa sasa,ambao vibinti vyetu ndivyo hivyo vya 2000s...
Nitake radhi mkweo kwa kuninanga mtandaoni.
Anyway, kiuhalisia,mapenzi kwa mwanamke yananoga kuanzia 30s,anajua ni nini me anataka,wengi akili zimeshakomaa wamejituliza. Hao wengine ni watoto,ndo wanajifunza mapenzi.
Ungejua sisi wa 80 girl tunavyosumbuliwa ña 90 boy usingeandika
Dah mkuu design kama unawavunja moyo hasahasa wale dada zetu ambao bado hawaja olewa nadhani wakisoma Uzi hu watakuwa wamefunjika moyoNi katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi.
Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90.
Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado unaamini unasumbua mjini utakua unajidanganya, utasumbua madingi wa ila sio vijana wa age yako, mmeishakua zilipendwa.
Mimi ni age mate wenu ila siwezi hata kuthubutu kuwatongoza, range rover ya miaka ya 80 haiwezi kulingana ubora na bits ya miaka ya 2000, mileage ya range ni kubwa sana .
Kama bado mtu alikua na hayo mawazo naomba uyaache na utundike daluga uwaachie vijana wa miaka ya 90 watawale ingawa na wao tunawapa hii term moja ya magu watatoka barabarani madogo wa 2000 wachukue hatamu.
Ingawa haya ni maoni yangu binafsi ila ndio ukweli wenyewe. Sisi wa kiume wa miaka hiyo bado tupo tupo sana.
Loweka chupi lako
Ohooooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Loweka chupi lako
Yes.Mtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
NdioSakayo na wewe ?
Wewe nakupa hii term moja ya Magufuri unatoka barabarani. Kwa miaka michache uliobakiza kua barabarani make the most of it.Hata tuliozaliwa 90-95 hatutaki wanaume aina yako maana bado hujajitambua wee wafwte hao hao wa 2000
Katika hali ya kawaida siwezi kununua range rover ya mwaka 1987 kama zikikuwepo kwa mfano nikaacha vits ya mwaka 1999, haiwezekani, mimi binafsi siwezi kutoka na dada wa miaka 29 nikaacha dogo wa miaka 25, 24. Haiwezekani.Hapa ina maana unazungumzia wanawake wa umri kati ya 28-37. Mbona hawa ndio wanawake wazuri na wanaojielewa? Muda wao bado upo sana.
Early 90's nawapa miaka hii miwili na nusu ya magufuri watakua washatoka barabarani rasmi. Ofcoz ni wazee sema kuna wachache bado wanadunda mtaani.Naunga mkono hoja...
Sasa hivi ni kuanzia 1996 kuendelea .
Pia Hao wa early 90's washazeeka sasa
Wengi tu mkuu wapo mtaaniMtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?