Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Wanaume wachafuaji utawajua tu,umepanga kutuchafulia vitoto vya Dada na kaka zetu vitoto ambavyo hata future navyo ni finyu wanaume hebu muwe na huruma unayoyafanya kwa mtoto wa mwanaume mwenzio ndiyo yatakayofanywa kwa binti yako, mimi nna binti mmoja wa kike lakini mume wangu huwa anamuwazia sana hasa pale muda utakapofika mabazazi kama mtoa post watakapoanza kumnyatia
Hahahahaha mwambie atulize mshono, karma will always work
 
Mdogo wangu kazaliwa 2000 amemaliza 4 lakini hata ukikaa nae maongezi yake tu hajajitambua alafu kuna janaume linammendea ovyo kabisa.kesho linalizwa linakuja kujaza seva hapa
Usimuonee wivu mdogo wako, acha tummendee afaidi kabla ya mda wake na yeye kupita huku tukiwasubiri wa mwaka 2005.
 
Ni katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi.

Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90.

Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado unaamini unasumbua mjini utakua unajidanganya, utasumbua madingi wa ila sio vijana wa age yako, mmeishakua zilipendwa.

Mimi ni age mate wenu ila siwezi hata kuthubutu kuwatongoza, range rover ya miaka ya 80 haiwezi kulingana ubora na vits ya miaka ya 2000, mileage ya range ni kubwa sana .

Kama bado mtu alikua na hayo mawazo naomba uyaache na utundike daluga uwaachie vijana wa miaka ya 90 watawale ingawa na wao tunawapa hii term moja ya magu watatoka barabarani madogo wa 2000 wachukue hatamu.

Ingawa haya ni maoni yangu binafsi ila ndio ukweli wenyewe. Sisi wa kiume wa miaka hiyo bado tupo tupo sana.
Mifataki utaijua tu!!
 
Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Tulelee mama hata hao unaowalea tunawasubiri; kwa sasa tunatafuna nyama mbichi kabisa ya mwaka 2000. Wee lea sana tena tunakuheshimu mno kama mama.
 
Kama una mpango wa kulipia mtoto wa mtu ada basi endelea kuhangaika na hao wa 90's
 
Tulelee mama hata hao unaowalea tunawasubiri; kwa sasa tunatafuna nyama mbichi kabisa ya mwaka 2000. Wee lea sana tena tunakuheshimu mno kama mama.
Jiandae kulipa mahali kubwa sana,sisi wasukuma lazima uje umekamilika mkwe.
 
Back
Top Bottom