Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Mwambie labda alikuwa hajui,wala hatuna time na hayo mawazo yake.
 
Mkuu, I beg to differ... Muone mama Salma na uzee wote ule bado ana hit kuliko vibinti vya born 90! Ni vile tu unavyojiweka na kupunguza dhiki ndogo ndogo na kuish stress free life, bado utang'ara...
Hata zarina wa mond.
 
We mwenyewe hutufai, mwanamke gani anaejitambua anaweza akawa na mwanaume km ww. We nenda tu kwa hao wadogo zetu ambao nao bado hawajitambui km ww.
 
Jiwe la gizani kama hili ndio huwa linatujulisha Id's za kike na kiume!Maana wakike huwa hawana uvumilivu kabisa..lazima waje kurusha ngumi japo hawana ubavu!
 
Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
wengine ndo tuna wa FORM FOUR KABISA!
nani bado anaendelea kutafuta kudate na wa aina hii!
I NOW JUST NEED A COMPANION!
not sex not mwonekano wakti mwingine not even cash!manake by this tym one can be veeeeeeeeeeeeeeeeeery far from financial dependacy!
SO AJIENDEE TU HUKO KWA HAO WANAOFANANA NAE MAHITAJI!
WE ARE NOT HIS LEAGUE!
 
Umenikumbusha juzi kuna mtoto nimekutana nae nilidhani anaweza kuwa wa mwaka 1990-1993 mtoto kumbe wa mwaka 2000 kapanda hewani afu bonge la mshepu ndio katoka kumaliza form 4 da nipo kwenye mchakato sasa wa kupata kitu kibichi
Mbaya sana wewe! Huyo si mwanafunzi bado anasoma au huo Mkia ndo unakupagawisha!
 
Back
Top Bottom