Wamekugusa nini Miss natafutaahahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekugusa nini Miss natafutaahahaaaa
Mwambie labda alikuwa hajui,wala hatuna time na hayo mawazo yake.Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Hata zarina wa mond.Mkuu, I beg to differ... Muone mama Salma na uzee wote ule bado ana hit kuliko vibinti vya born 90! Ni vile tu unavyojiweka na kupunguza dhiki ndogo ndogo na kuish stress free life, bado utang'ara...
hahaha nimecheka kwanguvu sanaUtatuweza wapi sisi wewe nenda Kwa vikojozi wenzako.
Mkuu wewe wa link?Hahaha umenichekesha hd nalala
Daah kweliSa hivi watotot waliopo sokoni nikauanzia 1995-2000
Yani hata Usihangaike kununua marashi ya bei, harufu ya uzee haiishi tehumesababisha nijinuse mkuu kuisikia hiyo harufu ya uzee [emoji12]
Hahahahaaa! Mumy nawewe ni zilipendwa mwenzangu eeekazi kweli kweli
Haiban nn mkuu?Maneno kuntuuu..jua lishazamaa...ngoma hobela hobelaa...maji yashazidi unga..haibani tenaaa...no mnato at all
wengine ndo tuna wa FORM FOUR KABISA!Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
acha tu shost sisi ndio wazee [emoji23]Hahahahaaa! Mumy nawewe ni zilipendwa mwenzangu eee
Dizaini yenu ndio wajuzi ,natafuta humu sipati,nimalize nao uzee huuacha tu shost sisi ndio wazee [emoji23]
tafuta tu mkuu utapata wazee tumejaa teleDizaini yenu ndio wajuzi ,natafuta humu sipati,nimalize nao uzee huu
Mbaya sana wewe! Huyo si mwanafunzi bado anasoma au huo Mkia ndo unakupagawisha!Umenikumbusha juzi kuna mtoto nimekutana nae nilidhani anaweza kuwa wa mwaka 1990-1993 mtoto kumbe wa mwaka 2000 kapanda hewani afu bonge la mshepu ndio katoka kumaliza form 4 da nipo kwenye mchakato sasa wa kupata kitu kibichi
Natafuta kdg kdg hope nitasikikatafuta tu mkuu utapata wazee tumejaa tele
Naona amegusa penyewe...poleWe mwenyewe hutufai, mwanamke gani anaejitambua anaweza akawa na mwanaume km ww. We nenda tu kwa hao wadogo zetu ambao nao bado hawajitambui km ww.