Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

Umenikumbusha juzi kuna mtoto nimekutana nae nilidhani anaweza kuwa wa mwaka 1990-1993 mtoto kumbe wa mwaka 2000 kapanda hewani afu bonge la mshepu ndio katoka kumaliza form 4 da nipo kwenye mchakato sasa wa kupata kitu kibichi
Mkumbuke na Boss Majaliwa lkn ana kamsemo kake flani hivi kuhusu watoto wa shule.
 
Duh, kuna mtu kasema chuchu kama ndala za umoja zilizochakaa......teh teh teh....enzi zao si ndo zile za zali la mentali, maneno ya shombo ukiwaita.......leo anatamani hata umpe hi nawe umeweka tinted
 
Ni katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi.

Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90.

Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado unaamini unasumbua mjini utakua unajidanganya, utasumbua madingi wa ila sio vijana wa age yako, mmeishakua zilipendwa.

Mimi ni age mate wenu ila siwezi hata kuthubutu kuwatongoza, range rover ya miaka ya 80 haiwezi kulingana ubora na bits ya miaka ya 2000, mileage ya range ni kubwa sana .

Kama bado mtu alikua na hayo mawazo naomba uyaache na utundike daluga uwaachie vijana wa miaka ya 90 watawale ingawa na wao tunawapa hii term moja ya magu watatoka barabarani madogo wa 2000 wachukue hatamu.

Ingawa haya ni maoni yangu binafsi ila ndio ukweli wenyewe. Sisi wa kiume wa miaka hiyo bado tupo tupo sana.
hawakawii kupunguza miaka 😀😀
 
80s ndo mpango mzima mkuu...
 
Back
Top Bottom