wala....huyu bigi braza mbishi tu
wa ukweli zaburi inaishia ngapi vile?? yule sista wa kipindi cha dini hakutufundishaga hii topiki
kosa kubwa hilo! komaa nao....mie nina mmoja utasema ninao 60, lakini kashindwa mwenyewe, halafu mama mkwe wako kaja, nasubiri maamuzi ya mr ndio nije nishushe thread!....ndoa bwana wacha tu.
eeeh unaona ishia hapo hapo!!
hivi kama nilikuuliza B hivi unasema mimi ni nani? yaani unaweza kunifanyia hivi kweli? inaishiaga 150,
kiarabu tena?....
hehehehe!NGOJA NIWAHI KUSONGA UGALI...!nitarudi
Kila siku jioni piga hii sala kutoka Mithali 30:7 -9wala....huyu bigi braza mbishi tu
wa ukweli zaburi inaishia ngapi vile?? yule sista wa kipindi cha dini hakutufundishaga hii topiki
150: 6hivi kama nilikuuliza B hivi unasema mimi ni nani? yaani unaweza kunifanyia hivi kweli? inaishiaga 150,
Watumishi wa Mungu wanapojali maslahi yako, kazi yako ni kugonga tu haya madude:Safi sana... ukimaliza uoshe na vyombo kabisa kisha upige deki jikoni (mwambie na X-pin aanze)
Safi sana... ukimaliza uoshe na vyombo kabisa kisha upige deki jikoni (mwambie na X-pin aanze)
Leo unajikwaa kweli mamushka!!we ni B wanhu wa ukweli, hakuna kama wewe, hajakuwepo wala hata kuwepo kama wewe.
asante kwa kunieleimsha
Kila siku jioni piga hii sala kutoka Mithali 30:7 -9
Mambo matatu nakuomba ee Mungu
Usininyime kabla sijafa
Uniondolee Ubatili na Uwongo
Usinipe utajiri wala Umaskini
Unilishe chakula kadiri yangu,
Nisije nikashiba nikakukana
wala nikawa masikini sana nikaiba
AMINA.
150: 6
Na kila mwenye punzi amsifu Bwana Aleluya!!
Mstari wa mwisho!!!
told u to xpect the worst...didn't I??Leo unajikwaa kweli mamushka!!
Ni Mzuka wa fani tu umenipanda!!eeeh B usiniovadozi sasa!!
baba Askofu....Tumsifu Yesu Kristu...
Watumishi wa Mungu wanapojali maslahi yako, kazi yako ni kugonga tu haya madude:
The Following User Says Thank You to Askofu For This Useful Post:
Chrispin (Today)
Zimebaki dakika ngapi hapo kefu niku M-Pesa fasta?told u to xpect the worst...didn't I??Code:
nikiedit it takes forever!!!! so bora ibaki hivo mwenye macho mawili ataelewa..oops macho tena??
Ni Mzuka wa fani tu umenipanda!!
Zimebaki dakika ngapi hapo kefu niku M-Pesa fasta?
eeeh hii kumbe fani ya wenyewe eh???
nimekumbuka sala sijui kwenye ''katekisimu yetu''..............Malaika mlinzi wangu unilinde katika hatari zote za roho na za mwili...
aah sore ofu topiki