Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
wala....huyu bigi braza mbishi tu
wa ukweli zaburi inaishia ngapi vile?? yule sista wa kipindi cha dini hakutufundishaga hii topiki
hivi kama nilikuuliza B hivi unasema mimi ni nani? yaani unaweza kunifanyia hivi kweli? inaishiaga 150,