Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Hebu mnisaidie wajameni, huyu binti Egyps-women mbona kama? I mean sijui nisemeje manake kama mgeni sio mgeni au mi ndo nimekuwa mgeni uenyejini? Hebu do ze nidiful Egyps (off topi)

mkuu tahazari usije ukateleza na ile invizibo anaita "name calling" , bado tunakuhitaji kwenye hii sredi
 
Mchumba sikujua, uko desperate kuolewa? Hebu twende PM mara moja!
Nimetumia lugha ya ujumla.lakini mie sipo desperate,siningekuwa nimeshategesha kamimba long time kama ndugu yake FL1 ili unioe kwa lazima? ...........Ngoja niende Pm kama ulivyoshauri,mambo mengine hayafai kuongea hadharani..............................:dance:
 
its been a while mpaka kamchicha karibu kabanike eeh!!!
 
Hebu mnisaidie wajameni, huyu binti Egyps-women mbona kama? I mean sijui nisemeje manake kama mgeni sio mgeni au mi ndo nimekuwa mgeni uenyejini? Hebu do ze nidiful Egyps (off topi)

bado kiduchu iwe name calling hapa...........
Invizibo naomba uwe unasogeasogea jirani..........
 
Kazi ipo.Nao wanaume sometimes huwa wanachangia sana hali hii kwa wanawake.wanaume wengi huwa hawataki kuoa mpaka wa'test' kwanza(tena kutest mpaka mwanamke abebe mimba) ndipo wanakubali kuoa.Na wakitukuta wanawake tupo desperate na kuolewa ndio basi wanafanya watakavyo!
eeh hivi who benefits more kwenye marriage? mie naoana ni wanaume....wao ndio wafuliwe nguo wapikiwe uwazalie watoto, uwalee watoo... etc;;;and what women gets out of marriage? they got to do all that work (dammit).. lakni kwanini sasa wanaume ndio wawe wanalazimishwa kuoa? it should be Vice Versa... Mie mpaka nimjaribu hasa mwanaume ndio niolewe..nimuona kama he really worth my while... and if he already values me and sees me for the woman that I am."....
 
its been a while mpaka kamchicha karibu kabanike eeh!!!

Teh teh teh! naomba unaingia hata bila ya hodi.au ndio salamu toka WC SA? Umetoka kumshangilia Tshabalala!????????vipi shem Bala hajambo lakn?
 
Tatizo la wanawali wengi ni hili:
1. Wanajiachia sana kwa wanaume na wanakinaiwa
2. Hawajui thamani zao na hawajithamini - muwafunze mabinti zenu
3. Hawatofautishi starehe na upendo wa dhati
Huyo dada imekula kwake. Asiolewe na huyo jamaa maana atalia maisha yote.
 
eeh hivi who benefits more kwenye marriage? mie naoana ni wanaume....wao ndio wafuliwe nguo wapikiwe uwazalie watoto, uwalee watoo... etc;;;and what women gets out of marriage? they got to do all that work (dammit).. lakni kwanini sasa wanaume ndio wawe wanalazimishwa kuoa? it should be Vice Versa... Mie mpaka nimjaribu hasa mwanaume ndio niolewe..nimuona kama he really worth my while... and if he already values me and sees me for the woman that I am."....

Hawa viumbe wanaume wana raha sana,eti mpaka wananywewa sumu sasa! Wengi wetu sie wanawake tuna UJINGA/UPUMBAVU fulani hivi.We real need to be EXPENSIVE kama ambavyo tuliumbwa.Tatizo tunajishusha sana thamani zetu.
 
Teh teh teh! naomba unaingia hata bila ya hodi.au ndio salamu toka WC SA? Umetoka kumshangilia Tshabalala!????????vipi shem Bala hajambo lakn?

sasa ntabishaje hodi ningali ndani jamani?? Tshabalala jana hakunifurahisha pamaoja na kugangamala kwangu kupuliza vuvuzela....

Bala mzima anapatikana tu kule kwenye masiposts hata hm haji
 
Kweli haka Kabinti mie nimeshindwa kukaelewa kabisa ...nadhani kamefanya makosa ambayo katayajuitia baadae ..na sijui kama huyu jamaa atatangaza nia ..
 
Kazi ipo.Nao wanaume sometimes huwa wanachangia sana hali hii kwa wanawake.wanaume wengi huwa hawataki kuoa mpaka wa'test' kwanza(tena kutest mpaka mwanamke abebe mimba) ndipo wanakubali kuoa.Na wakitukuta wanawake tupo desperate na kuolewa ndio basi wanafanya watakavyo!

kutest muhimu sana, ila sasa nninyi wadada ndo shida unalengesha unadhani ndo kibali cha kuolewa? Atajibeba!!!!
 
Hawa viumbe wanaume wana raha sana,eti mpaka wananywewa sumu sasa! Wengi wetu sie wanawake tuna UJINGA/UPUMBAVU fulani hivi.We real need to be EXPENSIVE kama ambavyo tuliumbwa.Tatizo tunajishusha sana thamani zetu.

hii post imetulia sana kwa ukombozi wenu kina mama. yaani mngeweza kuifanyia kazi hiyo buluu hapo juu basi hii dunia ingelitulia.I agree with u, women are naturally expensive , lakini mmejibadilisha mmekuwa cheap kuliko kadi ya CCM. (sio wote lakini)
 
kutest muhimu sana, ila sasa nninyi wadada ndo shida unalengesha unadhani ndo kibali cha kuolewa? Atajibeba!!!!
Hebu nenda st Joseph au msimbazi ufanye research.Mabibi arusi wengi wana mimba,nadhani 8 kati ya 10 wanakuwa tayari wametenda dhambi ya kuzini(i mean wana mimba kabla ya ndoa).Ila hapo sijajua kama walijirengesha mimba au ni wanaumewalitaka mpka kitu (mimba)kikubali kwanza
 
hii post imetulia sana kwa ukombozi wenu kina mama. yaani mngeweza kuifanyia kazi hiyo buluu hapo juu basi hii dunia ingelitulia.I agree with u, women are naturally expensive , lakini mmejibadilisha mmekuwa cheap kuliko kadi ya CCM. (sio wote lakini)

nimeona hapo tu kwenye buluu lol!! ndo mana nakupendaga
 
Kweli haka Kabinti mie nimeshindwa kukaelewa kabisa ...nadhani kamefanya makosa ambayo katayajuitia baadae ..na sijui kama huyu jamaa atatangaza nia ..

Mimi hapa simwangalii sana huyu binti na makosa yake maana kila mtu anafanya makosa kwa nafasi yake na inawezekana kwenye wachangiaji hapa kuna waliofanya makosa makubwa zaidi ya huyu binti.

Kikubwa ninachokiangalia hapa na kukifikiria ni huyu mtoto ambaye anaweza au ameshaanza kupata matatizo ya kimalezi kutokana na yanayoendelea baina ya wazazi wao. Kwangu mimi huyu binti atulize akili hata kama jamaa hatotangaza nia haijalishi, yeye amlelee mwanaye ambaye ndie anaweza kuja kuwa mtu wa muhimu kwenye maisha yake kuliko kuling'ang'ania janaume hilo.

Na kama huyu binti anasoma hapa namwambia wala hasijaribu kujuta kwa kilichotokea kwenye maisha yake ni mambo ya kawaida sana cha muhimu ni yeye kuweka mikakati ya kumlea mwanae.

Pia aondoe hayo mawazo ya kwenda kuishi huko kwa hilo janaume maana sio mtu mzuri anaweza kuwa na roho ya ibilisi mwanaharamu shetani mlaaniwa akazidi kumuharibia mipangilio ya maisha yake.

Mwisho aende kanisani (kama ni Mkristo) atubu na kurudishwa kundini na kumshukuru MUNGU kwa zawadi ya mtoto aliyompa.
 
Wapendwa kumbe mmejificha huku?
Nimewatafuta Jamvi zima.

Jamani moja ya vitu ambavyo vinaleta hasira kwa wanawake katika mahusiano ni kuchezewa na hatimaye mwanaume haonyeshi dalili ya kukuoa.
Alichofanya huyo dada ni mbinu yake ya mwisho ambayo mara nyingi hufanikiwa na ndio maana anapogundua haijafanikiwa anajaribu mbinu nyingine ya kutishia kujiua.
Msimlaumu wapendwa kwani yamemkuta.
 
nimeona hapo tu kwenye buluu lol!! ndo mana nakupendaga

nilikumiso aisee, nilizani invizibo amefanya vitu vyake lakini baada kuulizia nikaambiwa uko salama nikajiskia nimeongezeka weight ghafla! karib tena bht a.k.a Miss Jukwaa la mahusiano na mapenzi
 
Back
Top Bottom