Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

There are currently 45 users browsing this thread. (22 members and 23 guests)
bht* Ndahani MalaikaMweupe katelero klorokwini Nyamayao+ loner FirstLady1+ Mburahati Bigirita+ Lily Flower Fisherscom Shishi Edson smalnama vivian chloe.obrain nyange Ng'azagala ral Mfamaji Chumakibolimoto

soma kiarabu mpwaz
kiarabu tena?....
hehehehe!NGOJA NIWAHI KUSONGA UGALI...!nitarudi
 
lol...vipi mami ndoa inakupelekaje? mawifi bado hawajaanza fujo zao? wakianza niite mara moja![/QUOTE]

tchaaaaaaaaaaa!!! dearest bana mi staki kucheka lol!!!

akikuita unaharibu mazima afu sasa utaondoka na Shiroo au unamwacha hapo hapo kwake??

aniite nimpe mbinu za kupambana nao dearest.... shiroo ndio anatakiwa awaondoe hao wakileta musheri!
 
nakuaminia askari wa vita!!!

haya Shiroo ashindwe mwenyewe tu.....

(mi naogopa sana mawifi dearest...)

kosa kubwa hilo! komaa nao....mie nina mmoja utasema ninao 60, lakini kashindwa mwenyewe, halafu mama mkwe wako kaja, nasubiri maamuzi ya mr ndio nije nishushe thread!....ndoa bwana wacha tu.
 
Back
Top Bottom