Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Wakati wanawake wa jf ndio hao hao wanaopishana nao njiani wanabaki kudondosha mate kama simba mwenye njaa akimuona nyati aliyenona
Mkuu ktk utafiti usio rasmi...na shuhuda za wadau mbali mbali! Wadada wa JF wengi hawana muomekano wa kuvutia...na hii ndiyo sababu wachache sana wanaeza kubali kuonana na male members au kutuma pic kwa kuogopa kufahamika uhalisia wao na shobo zile zinazowapa angalau comfort kuisha mara moja...


Na hii sio kwa JF pekee..bali kwa mitandao mingi yenye kuweka siri taarifa za watumiaji... Sio rahisi kukuta wadada wazuri wamejaa,mostly wale wenye muonekano hafifu ndiyo hujaa ili kupata angalau comfort ya kusifiwa mana ktk maeneo wanayofahamika hawapewi muitikio chanya...

Nawasilisha...
 
🤣🤣🤣 Daby

Unanitamanisha nijaribu hayo ya kufaidi maisha ya kutongozwa na videti tena.

Kwa jinsi nilivyokua na kujua kusaka pesa yangu.. eeeh

Ningefungua uwanja wa kufatiliwa na kutoa nafasi

Mimi kwanza ningependa mwanaume aje na story za current news na za teknolojia miaka hii ya kijiditali.. hapo anakuwa anajua list ya top 5 or 10 ya bidhaaa fulani fulani.. mimi nachagua tu kama tatu tuuu KUANZIA..

Na mimi nimwambie hiki na kile.. halafu akiweka interest kuuliza nataka zawadi gani

Eeeeeeh..
 

Acha uzushi mkuu...JF imekua nini kiasi ku tap wadada wabaya peke yake?
 
Kama ulivyosema ni utafiti usio rasmi. Ukisema wadada wengi wa jf inamaana katika hao wengi umekutana nao wewe?? Na kwani wadada humu wamekuja kusifiwa na kupewa comfort?
 
Acha uzushi mkuu...JF imekua nini kiasi ku tap wadada wabaya peke yake?
Mkuu umesoma vzr umeelewa!?

Kuna mambo mawili hujayaelewa au hujayaona ktk huo ujumbe...

1* cjasema wadada wote jf nimesema asikimia kubwa...kitu ambacho ni cha kweli!

2* sijasema jf pekeake,bali mitandao mingi yenye kuweka siri taarifa za watumiaji,imekua ni mkombozi wa wadada wasio na muonekano mzuri kupata shobo nyingi za male members


Pitia tena, this is not personal....najaribu tu kutoa hoja yangu!
 
Nawe fungua PM unatuchosha tunaokusololea
 

hujajibu WHY JF na hio mitandao ya siri ,iwe na asilimia kubwa ya wanawake wabaya.?
 
Kama ulivyosema ni utafiti usio rasmi. Ukisema wadada wengi wa jf inamaana katika hao wengi umekutana nao wewe?? Na kwani wadada humu wamekuja kusifiwa na kupewa comfort?
Keyboard ni silaha kubwa sana ya wadada wasio na muonekano mzuri...

Wataweka maneno matamu ktk post zao na mbwembwe nyingi sana sinazopelekea jinsia tofauti kuvutiwa ilihali kiuhalisia wadada hao hawana mvuto... Na ndiyo sababu kuu humu ndani kilio kikubwa ni wadada kugoma kutuma picha hata ktk maongezi private au kukataa kuonana na male members kuogopoga kupoteza ile hamasa yao juu yao...
 
hujajibu WHY JF na hio mitandao ya siri ,iwe na asilimia kubwa ya wanawake wabaya.?
Muonekano hafifu unashusha kujiamini kwa mabinti...dats all! mbwembwe zote za jf ni kwakua hawaonekani wakifahamika kujiamini kunashuka....
 

kweli kbs
 

mwe
 
Ila watu tusio na mvuto huwa tunapata tabu sana lol!
 
Vp upo? Umekula nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…