Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Tabu zaidi ya sana kama tumejiumba wenyewe
Ila watu tusio na mvuto huwa tunapata tabu sana lol!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila watu tusio na mvuto huwa tunapata tabu sana lol!
Kwahiyo wanaoweka maneno matamu katika post zao na mbwembwe nyingi ndio hawana mvuto and vicevesa is true?Keyboard ni silaha kubwa sana ya wadada wasio na muonekano mzuri...
Wataweka maneno matamu ktk post zao na mbwembwe nyingi sana sinazopelekea jinsia tofauti kuvutiwa ilihali kiuhalisia wadada hao hawana mvuto... Na ndiyo sababu kuu humu ndani kilio kikubwa ni wadada kugoma kutuma picha hata ktk maongezi private au kukataa kuonana na male members kuogopoga kupoteza ile hamasa yao juu yao...
Vp upo? Umekula nini
Ahaha ninujiamini tu...tatizo unaweka mbwembwe nyingi kama za mtu mwenye mvuto...kiasi kwamba unakosa tena kujiamini na true identity yakoIla watu tusio na mvuto huwa tunapata tabu sana lol!
Tabu zaidi ya sana kama tumejiumba wenyewe
Haaaaa mrembo mbona mkali sana?Mfyuuuuuuu
Yaani utafikiri tulipenda kuwa hivi[emoji23][emoji23]Tabu zaidi ya sana kama tumejiumba wenyewe
Wakati wanawake wa jf ndio hao hao wanaopishana nao njiani wanabaki kudondosha mate kama simba mwenye njaa akimuona nyati aliyenona
Mkuu mvuto hatuna hata kujipa moyo kwa kuweka mbwembwe iwe kosa hapana mtuache aiseee.Ahaha ninujiamini tu...tatizo unaweka mbwembwe nyingi kama za mtu mwenye mvuto...kiasi kwamba unakosa tena kujiamini na true identity yako
Acha halafu wanatuponda ukija kuwaangalia wao utajiona heri ya wewe[emoji23][emoji23][emoji23]kama hivi yaan
Nikikijibu sijala utanitumia hela ya kulaHaaaaa mrembo mbona mkali sana?
Ndio maana sisi huwa tunaamua ku.......................
Yaani utafikiri tulipenda kuwa hivi[emoji23][emoji23]
Mkuu mvuto hatuna hata kujipa moyo kwa kuweka mbwembwe iwe kosa hapana mtuache aiseee.
Yap ndo nilitegemea ilo jibu ili nikufanyie muamala upate kulaNikikijibu sijala utanitumia hela ya kula
Real love and Money
Kuwatafuna tu.Kufanya nini?
Sio jf pekeake ni kila mtandao wa kijamii wenye nature hii... Wadada wasio na muonekano angavu wanapata kujiachia! Kumbuka muonekano hafifu hupunguza sana kujiaminiswali again WHY JF iwa attract wanawake wabaya tu?(najua utasema tu sio wote again)...ngoja nikuache ,nakuonea bure tu..lols