Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Keyboard ni silaha kubwa sana ya wadada wasio na muonekano mzuri...

Wataweka maneno matamu ktk post zao na mbwembwe nyingi sana sinazopelekea jinsia tofauti kuvutiwa ilihali kiuhalisia wadada hao hawana mvuto... Na ndiyo sababu kuu humu ndani kilio kikubwa ni wadada kugoma kutuma picha hata ktk maongezi private au kukataa kuonana na male members kuogopoga kupoteza ile hamasa yao juu yao...
Kwahiyo wanaoweka maneno matamu katika post zao na mbwembwe nyingi ndio hawana mvuto and vicevesa is true?

Kwahiyo ili umjue mtu ni mrembo inabid asiweke maneno matamu kwenye post zake.

Acha uzushi jamaa humu hakuna anayemjua mwenzie kama hamjawah kukutana. Unaweza ona kama mwanamke anapost maneno ya kimcharuko kumbe ni dume mwenzio.

Hata wanaume pia mpo nyuma ya keyboard na wapo wanaojisifu kwa kila hali na wao unawazungumziaje? Usipende kujudge tabia ya mtu usiyemjua kwa maandishi utakuja kutongoza na kuhonga wanaume mwenzio.
 
Ila watu tusio na mvuto huwa tunapata tabu sana lol!
Ahaha ninujiamini tu...tatizo unaweka mbwembwe nyingi kama za mtu mwenye mvuto...kiasi kwamba unakosa tena kujiamini na true identity yako
 
Lalamiko la wadada lina mantiki kubwa na ni vyema wanaume mkalifanyia kazi. Daby huwezi kumfuata mdada PM from no where eti kwa kuvutiwa tu na avatar au umesikia watu wakidanganyana kuwa yuko hivi na vile.

Kabla ya kumfuata PM msome ili ujue interest zake, then unapomfuata PM anza kuchomekea maneno yanayolandana na interest zake. Hii ni kwasababu binadamu tunatofautiana. Lakini sasa ikiwa utakuwa unagawa tu dozi ya salamu kutwa mbili mara tatu kama panadol inabore!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mvuto hatuna hata kujipa moyo kwa kuweka mbwembwe iwe kosa hapana mtuache aiseee.
 
swali again WHY JF iwa attract wanawake wabaya tu?(najua utasema tu sio wote again)...ngoja nikuache ,nakuonea bure tu..lols
Sio jf pekeake ni kila mtandao wa kijamii wenye nature hii... Wadada wasio na muonekano angavu wanapata kujiachia! Kumbuka muonekano hafifu hupunguza sana kujiamini
 
Back
Top Bottom