Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Ha haa haaa aisee umejuaje! Last weekend tulikuwa Saadan tukitokea kipumbwi Pangani! Tunashukuru kwa ofa hiyo, hata hivyo niseme tu kuwa ile ofa ya kwanza inatosha na inaonesha heshima na upendo wenu kwetu. Tar tajwa tutakuwa Mkomazi mkuu.
CC: Thad
Hahahaha, safi Sana, nikiwa km mdhamini nawapa ofa ,Saadan National Park ,October 13-14 ,mkasheherekee Nyerere Day
 
Hii ndio raha ya kuwa na 'matured & responsible man' [emoji8]

Asante sana mtu chake, jiandaeni kwa harusi yetu itakayofanyika kabla ya kuisha kwa mwaka huu.
 
Shukrani mkuu Daby hii sredi nimefatilia kuanzia mwanzo mpaka hapa ilipofikia, nimepata kutambua true color ya baadhi ya memba wa kike humu Jamvini...

Kumbe sio badoo tu na jf wamo😃
 
Haya maswali ndio yananikimbiza hivi unaniuliza nimekula nawezaje ishi bila kula au nikikwambia sijala utanitumia hela ya kula
Shunie mambo?Jukwaa letu pendwa limepoa sana!
 
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.

Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.

Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?

Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.

au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.
Duuh
 
Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku

Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one

Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Mmmh
 
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.

Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.

Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?

Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.

au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.
Hahaha
 
Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Hahaha
 
Back
Top Bottom