Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Kinachinishangaza mlume akisha gonga mzigo, salam mara 20 kwa siku na viswali uchwara kama upo? Vipi my? ndio inakuwa style yenu nyie wadada.Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa