Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku

Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one

Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Kinachinishangaza mlume akisha gonga mzigo, salam mara 20 kwa siku na viswali uchwara kama upo? Vipi my? ndio inakuwa style yenu nyie wadada.
 
Back
Top Bottom