Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Afu Simara na Shunie mnaniudhi.
Njooni hata na I'd fake, unatupia picha kisha unasepa.

Afu ukute wanaume wanaobabaikiwa jukwaani, hata kuosha pummbu zao hawajui.
Chefuuuu....
[emoji23][emoji23][emoji23] kaangalieni kwenye uzi wa forex ule wa kwanza wakati wanaanza mafunzo walikua wanatuma labda wazitoe ila zilikuwepo.

Mimi nina ka ID kamoja tu haka haka
 
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.

Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.

Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?

Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.

au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.
Nashangaa mkuu nawengine tunapenda toa pesa cash sio kwa mi mpesa wala tigo pesa.....
 
Back
Top Bottom