Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

hahahahaah nilikumiss kha!hapana kwakweli...mm napenda wale wa kusalimia asbh sana,,,mchana atakuchek tena,,sasa hapo unakuta kasalio kamesoma...tena unaambiwa pls manengelo nenda kula..its time nw.... sijamanisha siku zote..lakn anatia moyo🙂🙂🙂🙂🙂!
kesho yake mtachat tena kidogo atakuambia kale mishikaki umeniambia unapenda sana nyama..kale unywe na wine uwah kurudi hm...hv mtu kama huyu unamchukiaje!
mm sipohapa kuhamasisha ujinga!ila tambueni waanwake tunapenda kujaliwa hisia jamani(hasa mm😉)
wengne kuuutwa mbwembwe...ohh nimewah kuja huko nikalala hotel fulan maarufu!mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeew sasa nikubebe????
Huo mstali wa mwisho kwamba ndo unanianika hapa juani kijanja? Mungu anakuona ujue mbona mm sijasema chochote,[emoji23]
 
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.

Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.

Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?

Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.

au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.
Mi naona unatakiwa ufanye hivi, unaingia PM, unatoa salamu unasema hivi "nipe namba ya wakala ukatoe pesa fasta" anakutumia labda mpesa 14733 jina litatokea mariam kideba, sawasawa, ikishaingia ndo anakutumia namba yake kwenye namba hiyo iliyotolea muamala, baaaas
 
Hahahahaaa. Njoo ufanye marudio mchumba

Mchumba haina marudio ii, labda kufanya updates.

Ila hili zoezi msilichukulie easy, hasa pale unapoona kabisa kama usipofanikiwa utakuwa umepoteza mbaya, kuna vile una approach ukiwa unasema liwalo na liwe hapo ndo rahisi.
 
hahahahaah nilikumiss kha!hapana kwakweli...mm napenda wale wa kusalimia asbh sana,,,mchana atakuchek tena,,sasa hapo unakuta kasalio kamesoma...tena unaambiwa pls manengelo nenda kula..its time nw.... sijamanisha siku zote..lakn anatia moyo🙂🙂🙂🙂🙂!
kesho yake mtachat tena kidogo atakuambia kale mishikaki umeniambia unapenda sana nyama..kale unywe na wine uwah kurudi hm...hv mtu kama huyu unamchukiaje!
mm sipohapa kuhamasisha ujinga!ila tambueni waanwake tunapenda kujaliwa hisia jamani(hasa mm😉)
wengne kuuutwa mbwembwe...ohh nimewah kuja huko nikalala hotel fulan maarufu!mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeew sasa nikubebe????
JF women ni type nyingine ya hookers kumbe, km type za kisukari, wale wa road unaanza tu shin ngapi, hawa wa humu unaanza nao mbali msosi, wine, fudi, all that just to hit the [emoji78][emoji78], afu kutufanya tunatupa jiwe gizani sio fresh hatujui km tunalenga akina Shrek au Cinderella,
 
Mchumba haina marudio ii, labda kufanya updates.

Ila hili zoezi msilichukulie easy, hasa pale unapoona kabisa kama usipofanikiwa utakuwa umepoteza mbaya, kuna vile una approach ukiwa unasema liwalo na liwe hapo ndo rahisi.
Haaahhaa.
 
Mateso mwayataka nyie wenyewe.
Mje Pm mkiwa na sababu maalum.
Hatutaki salamu zenu zilizo ndefu kama mkojo wa mlevi.

Mwanaume rijali anakuja anakuuliza nataka nikutumie pesa ya lunch maana naona unachat sana jukwaani..nenda kale.
Mtu kama huyo hata ukimpa namba angalau wafarijika.
Asa wale wengine sasa.....loooollll!!!!!
Salamu kama tuko nursery school
Nyie ni hookers tuu hamna lolote
 
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
It doesnt matter hoochie, cuz naweza nikatumia ID mpya nikakutumia cash kidogo ule na unywe wine na vocha kidogo just to hit that ish which am sure will do, and hutajua ni mimi so haina effect hiyo [emoji867], am just pointing the obvious [emoji41]
 
Back
Top Bottom