Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

Hapana.
Hapa hujamsaidia Halima, kwa sababu umeamua kuchukua kesi isiyokuwa mahakamani.

Halima anapinga kufukuzwa CHADEMA. Mambo ya ubunge , labda huko baadae!
Anapinga kufukuzwa Chadema. Swali linakuja kwanini kafukuzwa Chadema? Kufukuzwa kwaao kuna sababu. Mimi ninachoona yeye anapinga utaratibu uliotumika kumfukuza amboa kwangu mimi naona ni kichekesho
 
Kwa hiyo unailaumu Chadema kwa kushtakiwa? Unataka isijitetee?

Amandla...
 
Hao Covid19 Wamefungua kesi Mahakamani kuishitaki Chadema Sasa ulitaka Chadema wasiitikie wito wa Mahakama wewe Bumunda sijui la wapi kibwetele usiye jitambua.
 
Unawataka chadema wakae kimya,kwani walioshitaki ni chadema? WANAHANGAIKAJE KWA MFANO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…