Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

Hapana.
Hapa hujamsaidia Halima, kwa sababu umeamua kuchukua kesi isiyokuwa mahakamani.

Halima anapinga kufukuzwa CHADEMA. Mambo ya ubunge , labda huko baadae!
Anapinga kufukuzwa Chadema. Swali linakuja kwanini kafukuzwa Chadema? Kufukuzwa kwaao kuna sababu. Mimi ninachoona yeye anapinga utaratibu uliotumika kumfukuza amboa kwangu mimi naona ni kichekesho
 
NI SAWA HAWATAKI COV19 WATUMIE NEMBO YETU PEDWA YA CHADEMA, ILA MCHAKATO WA KUWAVUA WABUNGE SI UMESHAKWISHA TAYARI? KAMA JIBU NI TAYARI KWA NINI WANAENDELEA KUWAFATILIA HALI TAARIFA ZA KUWAVUA ZIMESHAFIKA KWA KATIBU WA BUNGE... KWA NINAVYOONA HII ISHU ITAWACHAFUA CHADEMA
Kwa hiyo unailaumu Chadema kwa kushtakiwa? Unataka isijitetee?

Amandla...
 
NI SAWA HAWATAKI COV19 WATUMIE NEMBO YETU PEDWA YA CHADEMA, ILA MCHAKATO WA KUWAVUA WABUNGE SI UMESHAKWISHA TAYARI? KAMA JIBU NI TAYARI KWA NINI WANAENDELEA KUWAFATILIA HALI TAARIFA ZA KUWAVUA ZIMESHAFIKA KWA KATIBU WA BUNGE... KWA NINAVYOONA HII ISHU ITAWACHAFUA CHADEMA
Hao Covid19 Wamefungua kesi Mahakamani kuishitaki Chadema Sasa ulitaka Chadema wasiitikie wito wa Mahakama wewe Bumunda sijui la wapi kibwetele usiye jitambua.
 
huwa najiuliza swali, kama viongozi wangu chadema hawautambui uchaguzi kwa nini wanangaika na kina mdee.. hali tayari wameshawavua ubunge..
halafu kama chadema hawautambui uchanguzi kwa nini mwenyekiti huwa anaenda ikulu hali ikulu anayekaa humo ni mtu aliyechaguliwa kwa uchaguzi na akaapishwa..
mambo mengine ukiyafikilia sana unaweza washangaa tu watu..
NASHAURI, CHADEMA WAKAE KIMYA KWENYE HILI SWALA LITAWAAIBISHA SANA.. KAMA WAMESHAUKATAA UCHAGUZI NA KIKAO KIMEWAKATAA KIHALALI NA WAMESHAWASILISHA MAJINA KWA KATIBU WA BUNGE KUWAVUA UANACHAMA HAPO KAZI YA CHAMA IMEISHA WAACHE BUNGE NA SELIKARI IPINGE NGOMA NA KUCHEZA YENYEWE
Unawataka chadema wakae kimya,kwani walioshitaki ni chadema? WANAHANGAIKAJE KWA MFANO?
 
Back
Top Bottom