Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Mapato yameongezeka aongeze mishahara kwa watumishi, uchumi umekuwa sasa
 
Baraza la mawaziri la Magufuli kuna waislamu watatu tu na hakuna Mzanzibar.

Hizo porojo za ccm hazina mashiko, wachaga kiasilia walishaikataa ccm miaka mingi sana na ndio icon ya upinzani Tanzania, mkatae au mkubali huo ndio ukweli.
Itashangaza sana Chadema kuogopa kuchagua kiongozi wake eti kwasababu CCM na vibaraka wao watawaita wana ukanda, huu ni mtazamo wa kishamba kabisa, kiongozi bora atachaguliwa sio kwa kuangalia kabila lake au wapi anapotoka, bali ni uwezo wake kiuongozi kuwaunganisha wanachama na kuipeleka Chadema mbele.

Ndio maana huu uzi nimeuona umejaa hoja za kitoto tu.
 
Ndio maana mimi ninapendekeza hili jambo limalizwe mapema, watu wamefukuzwa imeeleweka.

Haya mambo ya kusubiri maamuzi ya kamati ya rufaa kwa muda zaidi, ni kuendelea kuwapa uwanja kina Mama.

Amon
kuvuruga chama kama wanavyoelekezwa na dola.
Acha wajimalize wasaliti wao kwa wao.
 
Thibitisha.
Wewe ndio maana wamekuambia unaleta hoja kwa mahaba, unashindwa kubalance hoja zako.

Unaanza hoja vizuri, lakin kadri unavyojibu maswali au hoja za watu, unaonesha hisia zako zimeegemea upande gani.
 
Hii hoja ya kuwatenga hawa kinamama itaimaliza chadema
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwaita wake zetu covid mpuuza sana wewe
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kwani we siku hizi umeacha kuwachukua malaya wa Meeda Bar pale Sinza Mori?
Ndio walikufundisha hata ku-duuu, maana ulimaliza chuo hata bila kuonjeshwa na yeyote.
Kwenda kule!
Umethibitisha hoja yangu. Ahsante sana, ujue umalaya wenu siyo kwa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…