citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Tuwaache waparurane watatibiwa MnyamalaMnyukano wa kugombania madaraka ndani ya Chadema sasa umethibitika. Tayari Hilda Newton na Devotha Minja wameanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha. Wanafanya kila mbinu kuhakikisha kwamba Mdee na wenzake hawarudi. Wanatumia nguvu kubwa kupamba na kundi la kina Mdee kuliko nguvu ambayo imewahi kutumika kupambana na chama tawala cha CCM...