Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nakukumbusha tu hicho kikao cha baraza kuu kinaongozwa na Freeman Mbowe.Katika suala la sasa, sioni compliance failure unayojaribu kuiongelea kwa upande wa kina Mdee inaanzia kifungu gani cha kikanuni.
Anayevuruga chama ni Kubenea na magazeti yake...
Wakati wanampa uenyekiti walimwambia mwamba tuvushe.
Tulioangalia mkutano wake na waandishi wa habari baada ya nyinyi kuvuliwa vyeo vyenu na kufukuzwa uanachama Freeman Mbowe aliongea kwa hisia kali sana na uchungu mkubwa, tuliomshuhudia kwa macho nina hakika kikao cha baraza kuu hakitachukuwa hata lisaa limoja kubariki maamuzi ya kamati kuu.
Jipangeni kwa lingine, mnaowabinulia ndani ya Chadema wanawadanganya na kuwapoteza.
No merci for traitors, kwenye serikali yangu adhabu yenu ni kifo tu, kupigwa risasi hadharani ili muwe mfano kwa wengine.