Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha?
Kuna dadanataka kuenda kumliwaza mkaka wa aina hiyo ila hajui aanzie wapi
hapa chini balaa sijaelewa kitu kabisaaaaa
si useme 2 kwamba ni we mwenyewe unaetaka kwenda kumliwaza m2.. So simplehabar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda kumliwaza mkaka wa aina hiyo ila hajui aanzie wapi
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda kumliwaza mkaka wa aina hiyo ila hajui aanzie wapi