kina kaka huwa mnamaanisha kweli?

kina kaka huwa mnamaanisha kweli?

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda kumliwaza mkaka wa aina hiyo ila hajui aanzie wapi
 
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha?

Kuna dadanataka kuenda kumliwaza mkaka wa aina hiyo ila hajui aanzie wapi

hapa chini balaa sijaelewa kitu kabisaaaaa
 
Kumliwaza mtu asiyetaka kuliwazwa, upuuzi gani huo? Akitaka msaada si ataomba?
 
Inawezekana ni zile hasira za kumwagwa..
Kama anaenda kumliwaza yeye aende tu..
mengine atayajua hukohuko..
 
hilo ni zuga,ni katika hatua za kumuignore mtu....
 
Unajua nisikufiche watu wana tofautiana mwingine ana sema hivyo baada ya kuumizwa na msichana na kweli ana wachukia wasichana ila wengi wetu hatuachi mahusiano bali tunaacha kupenda kweli.

Namshauri huyo dada awe muangalifu kwani naye anaweza kuambulia maumivu kwani wanaume wengi tuna kasumba ya kulipiza kisasi hata kwa asiye husika!

Ni vizuri akamsoma vizuri na ajaribu kumuonesha anampenda huku akiwa na tahadhari.
 
best timing.... jamaa ana maumivu, so akipata liwazo kama hilo itakuwa kama kapata windfall ya timely pain reliever
 
TUPO AINA MBILI

wazinguaji na wengine tunalia tuonewe huruma, ila ukinipa tu kitumbua umekwisha
 
Yaani hapo ni sawa na kushika sharubu za Simba. Taa nyekundi kabisa!!
 
Anataka kumliwaza mwambie turn up naked.....atasahau yaliyomsibu
 
simtaki mwanamme yeyote.

Jamani wa kuniliwazwa anakaribishwa.
 
Gonga hiyo mashine wewe kwani hujui kajilengesha huyo, yaani wewe kazi yako ni kuwashikia mgu....... swali la kish,,,,,,,,,,a kwelikweli hilo
 
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda kumliwaza mkaka wa aina hiyo ila hajui aanzie wapi
si useme 2 kwamba ni we mwenyewe unaetaka kwenda kumliwaza m2.. So simple
 
zinakua ni hasira tu. Mpeleke feri akanywe supu ya pweza. au mwambie akienda kumliwaza ampelekee na cd ya X wakaangalie wote. baada ya hapo utajua anamaanisha au ni uzushi. mia
 
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda kumliwaza mkaka wa aina hiyo ila hajui aanzie wapi

Nenda ukanase chezea boyz weye?
 
Back
Top Bottom