Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo huyo mwanaume wa maana hata asipokuoa we poa tu?
hata kupata mume wa maana siyo bahati.........................Bishanga hapa nilipo nimefunikwa na mikono miwili ya ukweli kwahiyo ondoa shaka. Kweli kuolewa sio bahati, bahati kupata mwanaume wa maana.
Waja. . .
we na nani?
sasa Purple utaishije bila mme mji huu,na ham ya kudo unaikabili vipi bila mwenza,au ndo yale ya Darlingtone na @serafina ?