kina mama nawaulizeni.........

kina mama nawaulizeni.........

yaan wewe damu barid kweli....wadada wife material imeshuka na wnaume husband MATERIAL WAPO?
kumpata mke bora ni bahat na kumpata mume mwema ni bahat pia.....
na km ulivyosema wanaume wanatafuta wanawake wa kusaidiana nao ......SO WANAUME WENGI WAMESHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO IN FAMILY ....ndo mana mnatafuta jek....in shot weng wenu mmekuwa marioooo:baby:

Ndo maana nilikumiso sana aisee
 
uko sawa kabisa Lizzy..
Kuolewa sio bahati jamani bahati ni kumpata atakayekupenda kwa dhati,kukuheshimu,kukuthamini na kukujali...
Watu wanaolewa daily lakini wanayokumbana nayo huko ndoani only God knows!
Ingekua kuolewa ni bahati ndoa zisingevunjika..
Haswa, bahati ni kumpata, na yeye akupate!! then Bahati zaidi, kuweza kuifunga ndoa kati ya msitu huu wa chatu, zaidi ni kuweza kuishi katu ya negativities zote hizi,
Bahati si kulink ya mtu mvaa suruale, mbona wako wengi tu loose
 
sasa kazi iataku-do jamani?kuna wanawake wana kazi za maana bt wanalalamika hawana bahati ya kuwapata walau wanaume wa kuwaweka ndani achilia mbali kuolewa.mimi nakubali kuolewa ni bahati hasa ukimpata mume bora.
well said my dear,ukweli wanaujua wenzio ila hawataki tu kuukiri jf.
 
yaan wewe damu barid kweli....wadada wife material imeshuka na wnaume husband MATERIAL WAPO?
kumpata mke bora ni bahat na kumpata mume mwema ni bahat pia.....
na km ulivyosema wanaume wanatafuta wanawake wa kusaidiana nao ......SO WANAUME WENGI WAMESHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO IN FAMILY ....ndo mana mnatafuta jek....in shot weng wenu mmekuwa marioooo:baby:

BAGAH,i warned you,unaona sasa?
 
Last edited by a moderator:

Rose1980 samahani kuchelewa kukujibu...vip wewe umeshabahatika?...
dizaini kama baadhi ya wanawake wa kizazi hiki hawaoleki...FAKE FAKE tupu!...
na kama unavyoona gharama za uendeshaji maisha zimepanda...siwezi KUFUGA mtoto wa mtu ndani awe anasubiria mipira kama KIPA wa simba!lazima awe mpambanaji...so sio kwamba majukumu yametushinda!

aisee mm bado naona miaka hii kuolewa kwenu itabaki kuwa bahati tu...siku hizi mdada kudunda miaka 35 hajaolewa imekua kawaiiiiiida!unafikiri kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom