Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
unataka kangedere ka selous kanipopoe mawe?
Usijali nitakupa ulinzi kama wa Obama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kangedere ka selous kanipopoe mawe?
yaan wewe damu barid kweli....wadada wife material imeshuka na wnaume husband MATERIAL WAPO?
kumpata mke bora ni bahat na kumpata mume mwema ni bahat pia.....
na km ulivyosema wanaume wanatafuta wanawake wa kusaidiana nao ......SO WANAUME WENGI WAMESHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO IN FAMILY ....ndo mana mnatafuta jek....in shot weng wenu mmekuwa marioooo:baby:
Haswa, bahati ni kumpata, na yeye akupate!! then Bahati zaidi, kuweza kuifunga ndoa kati ya msitu huu wa chatu, zaidi ni kuweza kuishi katu ya negativities zote hizi,uko sawa kabisa Lizzy..
Kuolewa sio bahati jamani bahati ni kumpata atakayekupenda kwa dhati,kukuheshimu,kukuthamini na kukujali...
Watu wanaolewa daily lakini wanayokumbana nayo huko ndoani only God knows!
Ingekua kuolewa ni bahati ndoa zisingevunjika..
well said my dear,ukweli wanaujua wenzio ila hawataki tu kuukiri jf.sasa kazi iataku-do jamani?kuna wanawake wana kazi za maana bt wanalalamika hawana bahati ya kuwapata walau wanaume wa kuwaweka ndani achilia mbali kuolewa.mimi nakubali kuolewa ni bahati hasa ukimpata mume bora.