kina mama nawaulizeni.........

nani? kale kajamaa ambako hakana mbele wala nyuma? nasikia hata chumba kafukuzwa hana hela ya kodi,ndo huyo? ama kweli mkataa pema.......
Hahahaha. . . yatakushinda baba wewe.

Mkataa pema. . .HAPAJAMPENDEZA"!
 
we usimsikilize Lizzy bana,hajanasa akanasika ndo mana anaongea hivo.Kama kumsoma nimemsoma kwenye hiyo thread ila sikuafiki.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. . . yatakushinda baba wewe.

Mkataa pema. . .HAPAJAMPENDEZA"!
mkataa pema PABAYA panamsubiri kwa mikono miwili.
Hivi mara ngapi kwa mwezi unakutana na njemba yenye mihela kama bishanga?
 
Wewe Bishanga umeoa? Je una uhakika mai waifu wako ana bahati kuolewa na wewe na kwa vipi? Ukijibu hili utakuwa umeelewa kama kuolewa ni bahati au la.
mke wangu ana bahati sana aisee,vigezo vyote vya charming girl hapo juu bishanga navitimiza.
by the way mkuu hiyo avatar yako mbona inatutishia maisha,tutaogopa sasa hata ku differ na wewe mkuu.
 
na ku do?
 
mkataa pema PABAYA panamsubiri kwa mikono miwili.
Hivi mara ngapi kwa mwezi unakutana na njemba yenye mihela kama bishanga?
Mara mia kidogo. . .alafu hata hawanishtui. Nimenasa kwa nanii. . .mpaka ninasuke na wewe utakua ulishapata wa kukufilisi.
 
Mara mia kidogo. . .alafu hata hawanishtui. Nimenasa kwa nanii. . .mpaka ninasuke na wewe utakua ulishapata wa kukufilisi.
habari za jioni mama? unapika nini?
 
Wako kidogo hao bana afu sisi ni wengi so mwanamke kuolewa ni bahati!!
Source; kwenye sherehe!
 
Kuolewa ni bahati kama uko nyumbani unasubiri kuolewa,kama unakazi yako sidhani kama ni bahati manake huwi tegemezi kwa mume.

sasa kazi iataku-do jamani?kuna wanawake wana kazi za maana bt wanalalamika hawana bahati ya kuwapata walau wanaume wa kuwaweka ndani achilia mbali kuolewa.mimi nakubali kuolewa ni bahati hasa ukimpata mume bora.
 
Bahati mbaya binadamu tumeumbwa kutokubali ulichonacho or sometimes we are in dilema wenye ndoa watamani kutoka wasiokuwa nazo watamani kuingia. Ili mradi tu. Wakat mwingine watu wanafunga ndoa ili jamii isiwanyoshee vidole
 

Swadakitaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
...haswa kwa miaka hii kweli hawana budi kusema ivo. kwanza idadi ya wadada unaoweza kusema ni "wife material" imeshuka sana, pili umakini wa wanaume kutaka mke bora na wakusaidiana kimaisha umekua juu sana!...(kiufupi tumepanda bei gafla...lmao!)


yaan wewe damu barid kweli....wadada wife material imeshuka na wnaume husband MATERIAL WAPO?
kumpata mke bora ni bahat na kumpata mume mwema ni bahat pia.....
na km ulivyosema wanaume wanatafuta wanawake wa kusaidiana nao ......SO WANAUME WENGI WAMESHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO IN FAMILY ....ndo mana mnatafuta jek....in shot weng wenu mmekuwa marioooo:baby:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…