Kina mama si kwa kuwachimba huku wakwe zenu wakike

Ukioa unaleta mtu ndani ya familia yenu ni vyema kama mzazi anayejali familia yake ajue mtu anayeingizwa katika familia yake kama ni sahihi, kuolewa ni kwenda nje na familia hivyo mama kama ana uhakika alimuandaa vyema binti yake ataenda kufaulu mitihani,nadhani nimeeleweka mkuu.
 
Kabisaa
 
Iko hivyo kote aisee akina mama huwa hawajali sana binti anaolewa wapi, ila wanakuwa makini sana kujuchunguza kijana anakooa nadhani ni kwa sababu kijana anapooa analeta mtu mgeni kwenye familia kwa hiyo ni halali mtu kutaka kumjua memba huyu mpya. Wanawake wengine ni akina Yona akiingia tu chomboni bahari inachafuka.
Fact kabisa
 
Ukichunguza wa mwenzio jua na wako ana chunguzwa ni hayo tu
udakutz_-20181221-0001.jpeg
 
Kuna mdada niliwahi mpeleka nyumbani, akamkuta mama bi mkubwa akaanza kumuuliza vijimaswali vichache tu ndipo wakafikia kwenye kabila. Akamwambia mama yeye ni Mnyamwezi, mama akasema sawa
Yule binti alivyoondoka akaniuliza, huyu Mnyamwezi mtawezana kweli? Nikamwambia tutawezana, akaguna akajubu kinyonge, Haayah! Nikamuuliza vipi kwani, akanambia wacha.tusubiri tuone. Hakikupita kipindi kirefu binti aliniacha ingawa mama alikuwa anampenda mno
 
Iko hivyo kote aisee akina mama huwa hawajali sana binti anaolewa wapi, ila wanakuwa makini sana kujuchunguza kijana anakooa nadhani ni kwa sababu kijana anapooa analeta mtu mgeni kwenye familia kwa hiyo ni halali mtu kutaka kumjua memba huyu mpya. Wanawake wengine ni akina Yona akiingia tu chomboni bahari inachafuka.

😂😂😂😂 u made my day
 
Kuna mdada niliwahi mpeleka nyumbani, akamkuta mama bi mkubwa akaanza kumuuliza vijimaswali vichache tu ndipo wakafikia kwenye kabila. Akamwambia mama yeye ni Mnyamwezi, mama akasema sawa
Yule binti alivyoondoka akaniuliza, huyu Mnyamwezi mtawezana kweli? Nikamwambia tutawezana, akaguna akajubu kinyonge, Haayah! Nikamuuliza vipi kwani, akanambia wacha.tusubiri tuone. Hakikupita kipindi kirefu binti aliniacha ingawa mama alikuwa anampenda mno
Kwanza bi mkubwa alionyesha wasi wasi halafu baadae akaja kumpenda? Labda ule wasiwasi wake wa mwanzo ulikua na maana kubwa
 
Mie naona ht kwa baba tu..baba akishamtilia mashaka mchumba wako bas jiweke pembeni tu..
Lakini kina baba huwa wana compromise kwenye masuala haya. Anaweza akakwambia halafu akakuacha mwenyewe ufanye maamuzi. Na pengine kina baba hua wanaelezaga wasiwasi kutokana na maneno wanayopewa na mama zetu huko chumbani
 
Ukiona baba kabebea bango sana ujue kuna information za uhakika kumuhusu mchumba anazifahamu

unadhan info bas??ni ule uzito wa neno mzaz..maana wazaz bwana wana macho ma3..imaginr men atoke simiyu huko.wazaz wawe let say ntwara hizo info nan anampa??ni vile mzaz anakua anajua hapa kuna chaka..hy ile posa tu barua ilivyoandika mzaz makini anajua hapa kuna zwazwa tu ...mm dingi angu alikaa na barua 1week ya kuleta posa kila.siku akawa anaiangalia..anaisoma...ila barua ya posa ya dadangu aliisoma.akasema rubbish na akatia ngumu hawatak.sie tukashikia kidedea....kweli hawakudumu wakaachana.. wazaz ni Mungu wa 2
 
Nilishawahi date demu mama aliongea nae kwenye simu tu one day video call.. Akamwambia sister mdogo wako hajapata bado mchumba... Mwezi tu baada ya huyo kauli tukaachana.. Demu ni tapeli tu
Eti mdogo wako hajapata mchumba bado. Na huyo aliyekuwa anaongea naye vipi?
 
unadhan info bas??ni ule uzito wa neno mzaz..maana wazaz bwana wana macho ma3..imaginr men atoke simiyu huko.wazaz wawe let say ntwara hizo info nan anampa??ni vile mzaz anakua anajua hapa kuna chaka..hy ile posa tu barua ilivyoandika mzaz makini anajua hapa kuna zwazwa tu ...mm dingi angu alikaa na barua 1week ya kuleta posa kila.siku akawa anaiangalia..anaisoma...ila barua ya posa ya dadangu aliisoma.akasema rubbish na akatia ngumu hawatak.sie tukashikia kidedea....kweli hawakudumu wakaachana.. wazaz ni Mungu wa 2
Uzuri wanafanya hayo yote for the best interest of their children, kwa hiyo japo saa zingine tunawalalamikia lakini wana haki ya kufanya hivyo
 
Wanaume tuna jicho la tatu ila mara nyingi huwa tunapuuzia alarm inayogonga kichwani mwetu tunaangalia vigezo vya nje.Unaona mwanamke huyu hafai kuoa lakini kwa sababu ana chura,figure namba 8 unajibebea tu.
 
Rafiki yangu mtoto wake wa kiume aliyemakiza chuo, kijana wa miaka 25 alipeleka nyumbani mchumba wa ‘miaka 35 mwenye watoto wawili baba tofauti.

Shost alimsomesha mtoto Uganda enzi zile English Medium Tanzania za kuhesabu. Leo analetewa mkwe ‘used’ kwa maneno yake.

Alipomkataa kijana alikunywa sumu. Hospitali mama alikatazwa kumuona mgonjwa kwani ndiye chanzo cha ajali.

Alipona na kuoa ndoa ya kanisani pasi mama yake kuwepo.
 
Back
Top Bottom