Kina Mama wawafunze mabinti kubalance Elimu, Career, Ndoa, Uzazi. Complications za Uzazi,Ugumba, ndoa migogoro zimekuwa nyingi sana

Kina Mama wawafunze mabinti kubalance Elimu, Career, Ndoa, Uzazi. Complications za Uzazi,Ugumba, ndoa migogoro zimekuwa nyingi sana

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba.

Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka wanapiga hela za ujanja ujanja na bado mimba hazipatikani

Kutumia Vidonge vya kuzuia mimba muda mrefu. Mabinti kuchelewa kuolewa sababu ya elimu na career vyote vyanzo vya matatizo.

Wamama wafundisheni mabinti kucheza na muda wa kila kitu vizuri

Matatizo mengi ya wanawake ni sababu ya kuchelewa kuolewa.

Maana kila mwanamke ana hisia na miwasho ya nyegez pia..

Ni uongo kusema binti atavumilia hiyo miwasho yake na hamu ya tendo la ndoa.. toka amevunja ungo mpaka anafika miaka 28 ama 30 ndipo aolewe.

Lazima hapo kati kati awe anafanya tendo. Na madhara yake ndio hayo.

Angeolewa mapema yasingetokea Maana huwezi toa mimba ya mume wako. Ama hawezi tumia hizo P2 kwa mumewe.

Anakuwa anatimiza haja zake za mwili bila kujiweka risk zozote
 
Wanaotoa mimba Sana hupata matatizo ya kutoshika mimba later

Ndio hivyo. Yote ni sababu ya kuchelewa kuolewa.

Maana mwanamke ana hisia na miwasho pia..

Ni uongo kusema binti atavumilia hiyo miwasho yake na hamu ya tendo la ndoa.. toka amevunja ungo mpaka anafika miaka 28 ama 30 ndipo aolewe.

Lazima hapo kati kati awe anafanya tendo. Na madhara yake ndio hayo.

Angeolewa mapema yasingetokea Maana huwezi toa mimba ya mume wako
 
Basi Ile solution ya watu WA pwani itumike ...waolewe mapema ...huku wanaendelea na shule...
 
Bado kuna watu wanaoa kabla ya kupata mtoto.??!

Wapo watu wa imani wanaoa bila kupata mtoto kwanza.

Pia hata kwa wale wa shake well before use . Wanapata mtoto kwanza ndio wanaoa.

Nao wanakutana na seke seke la kuishia mtoto mmoja tu. Wakitaka wa pili hapatikani
 
Unawapa majukumu mama zetu bure wakati masuala kama haya baba zetu wanahusika vilivyo kwenye ukuaji familia.
 
Huwa siruhusu matumizi ya P2 kama najua kabla. Labda mdada mwenyewe anikamate off guard
 
Uzi mzuri sana huu.. ni jambo nimeliongelea muda si mrefu
 
Unawapa majukumu mama zetu bure wakati masuala kama haya baba zetu wanahusika vilivyo kwenye ukuaji familia.

Ni rahisi zaidi kwa mama kuongea na binti mambo ya ki mahusiano kuliko Baba kuongea na binti.
 
Back
Top Bottom