Kina Mangi njooni tubadilishane uzoefu. Tushirikiane.

Natumaini neno "Mangi" ni wafanya biashara na siyo swala la ukabila?!
Tumeipenda thread yako tatizo ni hilo la "Umangi"...
hahaa, hili la Mangi naona almost ndio limeshatoholewa na kuwa neno la maduka ya rejareja, maana naonaga hata kwenye matangazo radion na kwenye tv wanatumia eti kwa Mangi wakimaanisha maduka ya rejareja
 
Ni kweli kabisa

Back
Top Bottom