Mama Samia alianza vyema. Kama ilivyo ada stahiki zake tukampa.
Sasa kazungukwa na genge la walamba asali wenye kujali maslahi yao. Wako tayari kuchakachua hata kura za maoni eti kuonekana kuwa tulio wengi tunaridhika kiroho safi na kulipa tozo. Maajabu ya Mussa!
Uhalali wa tozo hizi au hata hao wapiga chapuo wake uko wapi?
Mama anapoendelea kuwasikiliza na kuwapa promo watu hawa, asisahau kujiandaa kupokea mrejesho wa kuwa rais wa hovyo kupata kutokea, atakapokuwa nje ya madaraka.
Walikuwapo kina mawe hapa washupavu kweli kweli legacy zao leo, ziko wapi?