Kina Mwigulu watamfanya Mama kuharibikiwa

Kina Mwigulu watamfanya Mama kuharibikiwa

as long as dhalimu ameondoka,lawama zote apewe yeye sisi tuendelee kula raha na asali kwa amani.

awiiiiiiiiiiiiiiiii.

wewe ndugu yangu mnafiki sana,na kwa sababu hiyo nikwambie unaiokosea sana nafsi yako.
kwa magufuli mlimini n kuhubiri kwamba yeye ndiye msemaji wa mwisho,kwa mama mnasema anashauriwa au anaharibiwa makusudi.
 
Mama Samia alianza vyema. Kama ilivyo ada stahiki zake tukampa.

Sasa kazungukwa na genge la walamba asali wenye kujali maslahi yao. Wako tayari kuchakachua hata kura za maoni eti kuonekana kuwa tulio wengi tunaridhika kiroho safi na kulipa tozo. Maajabu ya Mussa!

View attachment 2334562

Uhalali wa tozo hizi au hata hao wapiga chapuo wake uko wapi?

Mama anapoendelea kuwasikiliza na kuwapa promo watu hawa, asisahau kujiandaa kupokea mrejesho wa kuwa rais wa hovyo kupata kutokea, atakapokuwa nje ya madaraka.

Walikuwapo kina mawe hapa washupavu kweli kweli legacy zao leo, ziko wapi?
Wakati mwingine unashindwa umlaumu nani, mama hawezi kuona hili au kuna jambo juu ya hili.
 
Mama Samia alianza vyema. Kama ilivyo ada stahiki zake tukampa.

Sasa kazungukwa na genge la walamba asali wenye kujali maslahi yao. Wako tayari kuchakachua hata kura za maoni eti kuonekana kuwa tulio wengi tunaridhika kiroho safi na kulipa tozo. Maajabu ya Mussa!

View attachment 2334562

Uhalali wa tozo hizi au hata hao wapiga chapuo wake uko wapi?

Mama anapoendelea kuwasikiliza na kuwapa promo watu hawa, asisahau kujiandaa kupokea mrejesho wa kuwa rais wa hovyo kupata kutokea, atakapokuwa nje ya madaraka.

Walikuwapo kina mawe hapa washupavu kweli kweli legacy zao leo, ziko wapi?
SA100 hana sifa hata moja ya kuwa Rais ...ukisikia rais aliye okotwa jalalani ndiyo huyu.kwake uzalendo ni mafii
 
Ninachoona ni kuwa kuna 'wahuni' wanataka kuweka genge lao kugombe uraisi 2025.
Ili wafanikiwe wameanza kumuhujumu Mama SSH ili aonekane hafai kuendelea na wao wachukue nafasi hii!
Watu hawa ni wa karibu nae sana sana (a.k.a chawa wake) lakini wakiwa na mkakati maalumu!
 
Ina onesha kwa watu wengi wa nchi hii uwelewa bado n mdogo.

Huwezi kumlaumu Mwigulu, January au Nape kwa haya yanayoendelea..

Wakulaumiwa ni Samia mwenyewe, sababu yeye ndie mwenye maamuzi ya mwisho..

Kama angekua yuko tofauti na kina Mwingulu basi angechukua hatua kuwaondoa au la hata kulikaripia jambo hili.

Kukaa kwake kimya katika tatizo hili la kuongezeka kwa gharama za maisha ni JIBU tosha anabariki huu ujinga..

Kina mwigulu ni ming'ombe tu, orchestrator ni Samia mwenyewe.
Nakuunga mkono na hakuna sababu yakumumunya maneno wakati hsli iko wazi inaonekana.sirikali nzima imeshindwa imebaki kuokoteza tu vitu vidogo vidogo visivyoleta suluhisho lakudumu la changamoto za hii nchi.
 
Hili la kodi ya zuio ya rent ipo kisheria ila watawala wakae wakijua wanawafikia wananchi moja kwa moja na wanasikiia ile pinch ya ugumu wa maisha kwahiyo katika zoezi la upigaji kura wajiandae wanaweza kukutana na suprise kama chama mbadala kitapatikana.
 
Jinafasi kufahamu matusi na kejeli zilikoanzia. Nikadhani ungemwambia hayo muasisi mwenyewe. Kwa maana miye nimejibu mapigo tu kama yalivyokuja na kwa maneno yake yale yale:

View attachment 2334959

waziri wa fedha ana dhamana kubwa sana ktk kushauri mambo haya ya fedha! Ila anaonekana yeye binafsi ndio chanzo cha maujinga yote haya!
 
Back
Top Bottom