Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama mnaamini tozo ni za Mwigulu bado mtamchagua hiyo 2025 akigombea? Mtakuwa watu wa ajabu kabisa.
Sahihi kabisa. Imefikia hatua wenye akili timamu hawahangaikagi kupanga foleni siku ya kupiga kura.Kwani huwa wanachaguliwa basi? Mwendo si ni ule ule wa kawaida wa kutangazana kama fadhila za kupeana ulaji ki Mahela Mahela tu?
Sahihi kabisa. Imefikia hatua wenye akili timamu hawahangaikagi kupanga foleni siku ya kupiga kura.
Samia hayuko hapa kukufurahisha weww bali kuleta maendeleo,subirieni Rais wa Maigizo ndio mje mchekeane..Mama Samia alianza vyema. Kama ilivyo ada stahiki zake tukampa.
Sasa kazungukwa na genge la walamba asali wenye kujali maslahi yao. Wako tayari kuchakachua hata kura za maoni eti kuonekana kuwa tulio wengi tunaridhika kiroho safi na kulipa tozo. Maajabu ya Mussa!
View attachment 2334562
Uhalali wa tozo hizi au hata hao wapiga chapuo wake uko wapi?
Mama anapoendelea kuwasikiliza na kuwapa promo watu hawa, asisahau kujiandaa kupokea mrejesho wa kuwa rais wa hovyo kupata kutokea, atakapokuwa nje ya madaraka.
Walikuwapo kina mawe hapa washupavu kweli kweli legacy zao leo, ziko wapi?
Samia hayuko hapa kukufurahisha weww bali kuleta maendeleo,subirieni Rais wa Maigizo ndio mje mchekeane..
Wewe hakuna siku mtaingia Ikulu, nendeni mkapigiwe kuwa na ambao sio wapumbavuSi ungesema yeye ni wa walamba asali usingeleweka tu mkuu? Hata hivyo vuteni subira. Kutokea Tahrir mbona tutaelewana tu?
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Nilishawahi kuandika hapa.Hii nchi bado watu ni wajinga sana ( ujinga siyo tusi) kama huyu mleta mada hata inaelekea hajui nchi inaendeshwaje, hivi Mwigulu ni nani nchi hii hadi abebe lawama zote hizo?
Nilishawahi kuandika hapa.
Kuwa wanaomzunguka wanaongea lugha moja ambayo haifahamu.
Watamburuza mno.
Mama nae aamke sasa asisubiri kuharibikiwa, vinginevyo ikitokea hivyo atakuwa amejitakia mwenyewe asijemlaumu mtu.
Wewe hakuna siku mtaingia Ikulu, nendeni mkapigiwe kuwa na ambao sio wapumbavu
Kama Madelu shida ni urais akiamini kwenye mkwanja amuulize mwenzie EL yaliyomkuta pale dodoma na hela zake + connection.
Kijana hana network inayoweza kumpa urais achilia mbali hela, labda wenye maamuzi yao wamkubali na kumtakasa. Bahati mbaya sana wenye maamuzi yao walishamtumia hapo nyuma, they know him very well.
Acheni kumtetea yeye ndo mwenye mamlaka ya nchi, kwann mnasingizi watu wengine?Hamna Yule juu Hana cha kupoteza. Anawasikiliza nyie wenye nchi yenu. Hata mkisema aondoke Leo anaondoka.
Tatizo ni wahuni waliomzunguka wanamwingiza chaka Ile baya msoga family siyo poa kabisa.
Acha upuuzi ww watamburuza vp? Yeye ndo anawatuma kufanya huo upuuz ndiomaana yupo kimyaNilishawahi kuandika hapa.
Kuwa wanaomzunguka wanaongea lugha moja ambayo haifahamu.
Watamburuza mno.
Tujibizane kwa hoja tafadhari matusi, kejeli hazitujengi, tusiambizane maneno makali!Ujinga si nao ni relative? Tena ujinga si ni kama manyani na mak*ndu yao? Basi kwenye majinga wewe ndiyo baba lao sasa. Huna ujualo chawa uchwara wee!
Bure kabisa!
Tujibizane kwa hoja tafadhari matusi, kejeli hazitujengi, tusiambizane maneno makali!
Yule kawekwa tu hujui Hili wala lile. Hata mkimwacha aamue yeye hakuna lolote.Acheni kumtetea yeye ndo mwenye mamlaka ya nchi, kwann mnasingizi watu wengine?
Hii kauli ya khsingizia watu wengine wakati yeye ndo mwenye mamlaka ni kis**ge sana