Kina Mwigulu watamfanya Mama kuharibikiwa

as long as dhalimu ameondoka,lawama zote apewe yeye sisi tuendelee kula raha na asali kwa amani.

awiiiiiiiiiiiiiiiii.

wewe ndugu yangu mnafiki sana,na kwa sababu hiyo nikwambie unaiokosea sana nafsi yako.
kwa magufuli mlimini n kuhubiri kwamba yeye ndiye msemaji wa mwisho,kwa mama mnasema anashauriwa au anaharibiwa makusudi.
 
Wakati mwingine unashindwa umlaumu nani, mama hawezi kuona hili au kuna jambo juu ya hili.
 
SA100 hana sifa hata moja ya kuwa Rais ...ukisikia rais aliye okotwa jalalani ndiyo huyu.kwake uzalendo ni mafii
 
Ninachoona ni kuwa kuna 'wahuni' wanataka kuweka genge lao kugombe uraisi 2025.
Ili wafanikiwe wameanza kumuhujumu Mama SSH ili aonekane hafai kuendelea na wao wachukue nafasi hii!
Watu hawa ni wa karibu nae sana sana (a.k.a chawa wake) lakini wakiwa na mkakati maalumu!
 
Nakuunga mkono na hakuna sababu yakumumunya maneno wakati hsli iko wazi inaonekana.sirikali nzima imeshindwa imebaki kuokoteza tu vitu vidogo vidogo visivyoleta suluhisho lakudumu la changamoto za hii nchi.
 
Hili la kodi ya zuio ya rent ipo kisheria ila watawala wakae wakijua wanawafikia wananchi moja kwa moja na wanasikiia ile pinch ya ugumu wa maisha kwahiyo katika zoezi la upigaji kura wajiandae wanaweza kukutana na suprise kama chama mbadala kitapatikana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…