The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Jana zilisambaa taarifa kwamba wafanyabaishara wa soko la Kariakoo wataanza mgomo usio na kikomo kuanzia Jumatatu Juni 24.
Kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe yaliyotengenezwa pia Kuna Waziri Mwandamizi anahusishwa katika mgomo huo kutokana na kile kinachodaiwa kuwa kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya vigogo Serikalini na pia kufanyiwa hujuma na baadhi ya Watendaji wake wa chini wenye ushirika na Wafanyabiashara na vigogo Serikalini ili kumuharibia kwa Rais na kuletwa mwingine wanayemtaka wao.