Kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe yaliyotengenezwa kumngo'a mkuu wa TRA Kidata

Kidata si alifikuzwa kazi na mwendazake?
Aliondolewa hadhi ya ubalozi na kufutwa kazi ya ubalozi na JPM. Akateuliwa kuwa RAS (Mtwara).na huyo huyo JPM.

Baada ya SSH kuingia, akamteua kuwa boss wa TRA kazi ambayo alifanya Dr. Philip Mpango kabla ya kuteuliwa kuwa waziri wa Fedha
 
Tulieni dawa iwaingie ninyi na chura wenu. Mapambio mengi kazi yanafanya kihuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…