Kinachoendelea CHADEMA kwa sasa, kinaweza kupelekea CAG kukipa chama hicho hati chafu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni wazi kuna ufisadi tayari umefanyika chadema makao makuu taifa. Lakini pia ni wazi kwamba kuna matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya rasilimali na fedha za chama yasiyofuata, wala kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na katiba ya chama hicho, yanaendelea kufanyika ndani ya chama hicho kilichokua kinapitia ukata mkubwa sana wa fedha kwa muda mrefu.

Licha ya viongozi wa kitaifa wanaotuhumiwa kwa ufisadi huo kutumia mitandao ya kijamii na kuwatumia vijana wa chama, kutetea ufisadi wao na kuwakingia kifua kwa kurusha lawama kwa wengine ili kuficha au kukwepa tuhuma hizo za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, madaraka, rasilimali na fedha na fedha za chadema kwa manufaa binafsi, bado hakuna kinachoweza kukinusuru chama hicho kupata hati chafu au yenye mashaka kwasababu ya ufisadi ulioibuliwa.

Kama mdau wa jukwaa hili la siasa jf, unashauri chadema wafanye nini kujikwamua kutokana na mkwamo huu wa kifisadi unaowazonga na kuwafedhehesha mbele ya umma?

Ni upi mwisho wa sakata hili la kifisadi ndani ya chadema makao makuu?πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Sawa Mr blaahblaah, una tungo nyingine. ?
 
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hati chafu haitolewi kijingajinga hivyo kwamba wahuni wawili watatu wamedai fulani katumia hela vibaya basi CAG atoe hati chafu? Labda awe CAG wa mchongo kwa maelekezo maalum. Pia inatakiwa uwe na kumbukumbu kuwa ccm inaongoza kwa kupata hati zenye mashaka na chafu. Matumizi yao kawaida huwa hayaeleweki na hawana ubavu wa kuulizana ni zidumu fikila za mwenyekiti wa chama. Kachukua billions kadhaa kawaonga wenye njaa kina mchome na wenzake ili wafanye vituko dhidi ya chadema. Majibu wataambiwa tumezitumia kuimarisha chama cha majambazi.
 
Gentleman,
kwahiyo ufisadi ulokwisha kufanyika chadema una risiti, right?🀣

Lakini pia matumizi mabaya ya ofisi, madaraka na rasilimali za chama vina risiti pia, right?πŸ’
 
Haishiwi kwa tungo huyu gentleman, haitafika kesho kaweka,hasaza kuhusu kuwazushia chadema viongozi wake na kusifu chama chake
My friends,
hapo mnapotoshana au mnadanganyana zangu wadau wa Jf?

hoja mahususi mezani ni nzito sana, au imewashinda kabisa?

ukweli una tabia ya kukera. Au mmekerwa na ukweli kwenye hoja mahususi mezani?πŸ’
 
Unakaribia kuwehuka
nakuombea Neema na Baraka za Mungu usipate mshtuko wa moyo au ugonjwa wa moyo tu gentleman kwasababu ya mihemko na makasiriko useless jukwaani,

mambo bado sana,
ndio kwanza yanaanza πŸ’
 
Wewe mke wa Abdul Hafidh (I mean shoga/basha mnyonge) Nataka kukwambia hivi, hicho ulichoandika hakipaswi kusomwa na yeyote yule kwa sababu kimejaa upuuzi na ujinga kupindukia. Kwa ushauri wangu, ungebandika huu uzi ulioandika kwenye makalio yako ili Abdul auone na akusifie. Kwa taarifa yako, CHADEMA hawapokei ruzuku popote pale, na kwa taarifa yako pia CHADEMA hawawezi kufadhaishwa na yoyote yule, awe Kitambi Samia, bwana wako Abdul na shoga wewe.
Ni vizuri hata kama unalipwa na mumeo, jaribu kuongea ukweli acha kuongea uharo.
 
jieleze bila mihemko gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…