kiazisource ya pesa za chama alizofisidi heche au source ya nini gentleman??🐒
hivi muda wa kuandika MAUSHUZI kama haya unaupata wapi??why usijikite kutafuta pesa??Ni wazi kuna ufisadi tayari umefanyika chadema makao makuu taifa. Lakini pia ni wazi kwamba kuna matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya rasilimali na fedha za chama yasiyofuata, wala kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na katiba ya chama hicho, yanaendelea kufanyika ndani ya chama hicho kilichokua kinapitia ukata mkubwa sana wa fedha kwa muda mrefu.
Licha ya viongozi wa kitaifa wanaotuhumiwa kwa ufisadi huo kutumia mitandao ya kijamii na kuwatumia vijana wa chama, kutetea ufisadi wao na kuwakingia kifua kwa kurusha lawama kwa wengine ili kuficha au kukwepa tuhuma hizo za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, madaraka, rasilimali na fedha na fedha za chadema kwa manufaa binafsi, bado hakuna kinachoweza kukinusuru chama hicho kupata hati chafu au yenye mashaka kwasababu ya ufisadi ulioibuliwa.
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa jf, unashauri chadema wafanye nini kujikwamua kutokana na mkwamo huu wa kifisadi unaowazonga na kuwafedhehesha mbele ya umma?
Ni upi mwisho wa sakata hili la kifisadi ndani ya chadema makao makuu?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,hivi muda wa kuandika MAUSHUZI kama haya unaupata wapi??why usijikite kutafuta pesa??
Sasa umejuaje kwamba amekula pesa au ametumia vibaya madaraka. Je mahakamani utasema huna risiti? Na kama huna suppotive documents juu ya hizo tuhuma kwa nini useme?Gentleman,
kwahiyo ufisadi ulokwisha kufanyika chadema una risiti, right?🤣
Lakini pia matumizi mabaya ya ofisi, madaraka na rasilimali za chama vina risiti pia, right?🐒
Kwani Hicho chama kinacho kunyima usingizi serikali inakipa ruzuku?Ni wazi kuna ufisadi tayari umefanyika chadema makao makuu taifa. Lakini pia ni wazi kwamba kuna matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya rasilimali na fedha za chama yasiyofuata, wala kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na katiba ya chama hicho, yanaendelea kufanyika ndani ya chama hicho kilichokua kinapitia ukata mkubwa sana wa fedha kwa muda mrefu.
Licha ya viongozi wa kitaifa wanaotuhumiwa kwa ufisadi huo kutumia mitandao ya kijamii na kuwatumia vijana wa chama, kutetea ufisadi wao na kuwakingia kifua kwa kurusha lawama kwa wengine ili kuficha au kukwepa tuhuma hizo za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, madaraka, rasilimali na fedha na fedha za chadema kwa manufaa binafsi, bado hakuna kinachoweza kukinusuru chama hicho kupata hati chafu au yenye mashaka kwasababu ya ufisadi ulioibuliwa.
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa jf, unashauri chadema wafanye nini kujikwamua kutokana na mkwamo huu wa kifisadi unaowazonga na kuwafedhehesha mbele ya umma?
Ni upi mwisho wa sakata hili la kifisadi ndani ya chadema makao makuu?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Yaani ufisadi wa CHADEMA ndo unataka uwashughulishe wananchi badala ya ule unaofanywa na ccm kwenye rasilimali za Tanganyika?Ni wazi kuna ufisadi tayari umefanyika chadema makao makuu taifa. Lakini pia ni wazi kwamba kuna matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya rasilimali na fedha za chama yasiyofuata, wala kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na katiba ya chama hicho, yanaendelea kufanyika ndani ya chama hicho kilichokua kinapitia ukata mkubwa sana wa fedha kwa muda mrefu.