Kinachoendelea CHADEMA kwa sasa, kinaweza kupelekea CAG kukipa chama hicho hati chafu?

Absolutely rubbish lini mara ya Mwisho ulisikia walipata hati chafu?
 
My friends,
hapo mnapotoshana au mnadanganyana zangu wadau wa Jf?

hoja mahususi mezani ni nzito sana, au imewashinda kabisa?

ukweli una tabia ya kukera. Au mmekerwa na ukweli kwenye hoja mahususi mezani?πŸ’
Kumjibu mtu anayefanya makusudi kama wewe, ni kosa. Huwa tunakijibu basi tu.

Mambo serious unayafanyia mzaha.

Anyway tuendelee kuwazoom tu watu aina yako.
 
Nafikiri kama ni kutenda haki CAG angeanza na ccm kwani ni chama kilichooza na kilichojaa rushwa na ufisadi juu mpaka chini
 
Kumjibu mtu anayefanya makusudi kama wewe, ni kosa. Huwa tunakijibu basi tu.

Mambo serious unayafanyia mzaha.

Anyway tuendelee kuwazoom tu watu aina yako.
kwahiyo hoja mahususi mezani ni mzaha na sio kitu serious ndani ya chadema gentleman?

na kwamba ni makusudi?🀣

kwahiyo hakuna kitu kinachoendelea chadema kuhusu ufisadi?🀣
 
Nafikiri kama ni kutenda haki CAG angeanza na ccm kwani ni chama kilichooza na kilichojaa rushwa na ufisadi juu mpaka chini
kuhusu ufisadi uliofanywa chadema makao makuu na viongozi wa chadema taifa, chadema inaweza kunusuruka na hati chafu?πŸ’
 
kama serikali yako ilipeleka ruzuku 2025/26 CAG wenu anaweza kwenda kupiga hesabu na kutoa hati
 
kama serikali yako ilipeleka ruzuku 2025/26 CAG wenu anaweza kwenda kupiga hesabu na kutoa hati
hiyo sio sababu gentleman,
whether chama kina ruzuku au hakini, ukaguzi wa CAG ni complasory kwasababu ni takwa la kisheria πŸ’
 
Mungu Ibariki Tanzania
Naunga mkono hoja,Mungu aibariki Tanzania, Mungu aibariki Chadema,hawa Wachagga wa Chadema ni shidah!,wakifanikiwa kumalizana na Heche,watalianzisha kwa Lissu,wataanza kuliulizia lile gari walilo changishwa!.

Ila pia kuna jambo nikusaidie, Hiki kinachoendelea CHADEMA kwa sasa, hakiwezi kupelekea CAG kukipa chama hicho hati chafu kwasababu, fedha zinazokaguliwa na CAG ni zile fedha za umma tuu wanazolipwa kama ruzuku, fedha nyingine zote, hazikaguliwi na CAG, hiyo michango ya watu ni fedha binafsi, hazimhusu CAG

Fedha binafsi zinazokaguliwa na INEC ni fedha za uchaguzi.

P
 
hapo kwenye kumalizana pamenichekesa sana mwalimu P.🀣
 
hiyo sio sababu gentleman,
whether chama kina ruzuku au hakini, ukaguzi wa CAG ni complasory kwasababu ni takwa la kisheria πŸ’
Yes ukaguzi wa CAG ni compulsory ila ni kwa fedha za umma, zile za ruzuku tuu!.
Vyama vyote vya siasa vinavyo pokea ruzuku, vina mafaftari mawili ya accounts na account s mbili, fedha za umma zinazotoka mfuko mkuu wa hazina ya serikali kwenda ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kulipa ruzuku kwa vyama vya siasa ndio zinakaguliwa na CAG.

Fedha nyingine zote za chama ni fedha binafsi, hazikaguliwi
!.

P
 
nakubali mwalimu P.🀝
 
MUAMALA UMESOMA
 
Wewe ni mkaguzi wa ndani wa Cdm ?
 
Wewe ni mkaguzi wa ndani wa Cdm ?
hapana gentleman,
mimi ni mTanzania tu kama wewe, mwenye haki na uhuru wa kuhoji mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya taasisi za umma ikiwa ni pamoja na vyama vya siasa nchini πŸ’
 
hapana gentleman,
mimi ni mTanzania tu kama wewe, mwenye haki na uhuru wa kuhoji mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya taasisi za umma ikiwa ni pamoja na vyama vya siasa nchini πŸ’
source???, ukiwa mbgmbg ni lazma akili uweke kando?
 
Inatakiwa CHADEMA kuifuatilia kwa ukaribu sana ili isije kuingiza pesa chafu za kuja kulipa vijana wa kigeni kwa ajili ya kuleta Machafuko hapa Nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…