Kinachoendelea CHADEMA kwa sasa, kinaweza kupelekea CAG kukipa chama hicho hati chafu?

hivi muda wa kuandika MAUSHUZI kama haya unaupata wapi??why usijikite kutafuta pesa??
 
hivi muda wa kuandika MAUSHUZI kama haya unaupata wapi??why usijikite kutafuta pesa??
Gentleman,
hivi hua unafanyaje au unatumia nini ili kupata mihemko na makasiriko unapoona hoja mahususi mezani imekulemea kiasi kwamba unajikuta tu uko pointless na unambwelambwela vitu useless tu, huku ukijipiga kifua kua ni wewe ni mwerevu sana na mtu ambae ni bize sana na ana pesa sana?🀣

unaweza kuwaeleza wadau wa Jf japo kwa kifupi tu na itapendeza zaidi gentleman?πŸ’
 
Gentleman,
kwahiyo ufisadi ulokwisha kufanyika chadema una risiti, right?🀣

Lakini pia matumizi mabaya ya ofisi, madaraka na rasilimali za chama vina risiti pia, right?πŸ’
Sasa umejuaje kwamba amekula pesa au ametumia vibaya madaraka. Je mahakamani utasema huna risiti? Na kama huna suppotive documents juu ya hizo tuhuma kwa nini useme?
 
Kwani Hicho chama kinacho kunyima usingizi serikali inakipa ruzuku?
 
Yaani ufisadi wa CHADEMA ndo unataka uwashughulishe wananchi badala ya ule unaofanywa na ccm kwenye rasilimali za Tanganyika?
Yaani negative zero ni muhimu kwako kulikoni mabilioni yanayofujwa bila sababu za msingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…