Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
245
Reaction score
655
Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa,
Waziri wa maliasili ajiuzuru?
Waziri wa ulinzi ajiuzuru?
Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
IMG-20240905-WA0019.jpg
 
Kuna nini kimetokea huko?

Tuhabarishe kwa utulivu tuelewe.
 
Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa,
Waziri wa maliasili ajiuzuru?
Waziri wa ulinzi ajiuzuru?
Waziri wa mambo ya ndani ajiuzuru?
Mmmh! Mmmmh! Sini nyumbani huku tumefikia hapa 🤔
 
Mmmh! Mmmmh! Sini nyumbani huku tumefikia hapa 🤔
Haya ndiyo yanaoendelea wana kijiji wanaamishwa tena kwa kupigwa, kuchomewa nyumba na kubomolewa na ndiyo yanaendelea na serikali ipo kimya
 
Attachments

  • IMG-20240905-WA0018.jpg
    IMG-20240905-WA0018.jpg
    564.2 KB · Views: 2
  • IMG-20240905-WA0013.jpg
    IMG-20240905-WA0013.jpg
    67 KB · Views: 3
Nilishafika hayo maeneo hasa hasa igagala,kombe,usinge n.k wasukuma wamevamia sana mapori ya akiba na wanakata sana miti. So kuna wakati lazima rasilimali zitunzwe kwa nguvu zote.
Wasukuma ni waharibifu sana wa mazingira.
Pia WAHA maeneo hayo ni wachoma mkaa sana....wadhibitiwe.
 
Back
Top Bottom