Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Mmmh! Mmmmh! Sini nyumbani huku tumefikia hapa 🤔Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa,
Waziri wa maliasili ajiuzuru?
Waziri wa ulinzi ajiuzuru?
Waziri wa mambo ya ndani ajiuzuru?
Haya ndiyo yanaoendelea wana kijiji wanaamishwa tena kwa kupigwa, kuchomewa nyumba na kubomolewa na ndiyo yanaendelea na serikali ipo kimyaMmmh! Mmmmh! Sini nyumbani huku tumefikia hapa 🤔
Kwani serikali wanatuchukuriaje wananchiHaya ndiyo yanaoendelea wana kijiji wanaamishwa tena kwa kupigwa, kuchomewa nyumba na kubomolewa na ndiyo yanaendelea na serikali ipo kimya
Wanatuchukulia powa tuKwani serikali wanatuchukuriaje wananchi