Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio magumashi tu ni hamna kituKampala university ni magumashi kwenda mbele.
do not pay, ushenzi huu vyuo vya kati vya afya wanao sana. machame is an example. Unaingia mwaka wa tatu ukishindwa ku clear wanakufukuza na kula hela zako. Machame wamefanya sana wizi huu. faneni mgomo mamlaka zishituke.Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
Elimu ya Tanzania na third world countries ni UtapeliChuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna msaada.
================
MAJIBU YA KAMPALA UNIVERSITY
Academic Register wa Kampala University, Dkt. Edward Kamea ameulizwa kuhusu kinachoendelea, amefafanua: “Ili uweze kufanya mitihani unatakiwa uwe na mahudhurio ya 90%, wanafunzi wengi hawakufikisha kiwango hicho na hawakuruhusiwa kufanya mitihani.
“Wanafunzi wakalalamika walipoambiwa kuwa hawajakidhi vigezo vya kufanya mitihani, kukatokea mvutano baada ya kujulishwa hivyo.
“Sisi chuo tukawaombea kwa Wizara ya Afya wafanye mitihani kisha tutaangalia, Wizara ikaamua kuwaruhusu lakini maamuzi yao ni kwamba itakuwa incomplete kwa kuwa mitihani hiyo inasimamiwa na Wizara ya Afya na NACTE.”
SWALI: Kwa nini Wizara iruhusu wanafunzi wafanye mitihani wakati umesema inatambulika hawajakidhi vigezo?
JIBU: Waliruhusiwa kwa sababu wanafunzi walikuwa wanaleta fujo, hata Wizara waliweka tamko lao hilo katika maandishi kuhusu kuwaruhusu, hivyo wanafunzi walifanya mitihani wakitambua kuwa hawana vigezo.
Baadaye tukazungumza na Wizara kuhusu hilo, tukawaomba Wizara kuwa sisi tutakuwa na utaratibu wa kuwafundisha vitu ambavyo hawakusoma lakini waendelee na utaratibu mwingine, Wizara imeridhia.
Hivyo, Novemba 28 wataanza mitihani ile ambayo hawakutimiza vigezo, wanafunzi wetu ni wagumu sana kuhudhuria darasani.
SWALI: Kama matokeo yanaonesha ni INCOMPLETE na wanafunzi wanatakiwa kurudia mitihani, yanahusiana vipi na masuala ya kurudia mitihani wakati wanafunzi wanasema mitihani yote wamefanya, je ni kwamba wamefeli wote?
JIBU: Hapana siyo kwamba wamefeli, bali hawakutimiza vigezo vya mahudhurio, kuna muongozo wa topics ambazo wanatakiwa kuwa wamezisoma hadi kumaliza mwaka wa masomo, so wao walifanya mitihani wakati wakijua kuwa hawajakamilisha vigezo hivyo.
SWALI: Wanafunzi wameridhia kuhusu suala hilo?
JIBU: Ndio wameridhia
SWALI: Idadi ya wanafunzi ambao matokeo yao yapo incomplete ni wangapi?
JIBU: Ni zaidi ya 300, sikumbuki idadi kamili mpaka nipitie katika nyaraka
SWALI: Ni kweli kuwa hawawezi kufanya hiyo mitihani ya marudio bila kuwa wamelipa ada ya mwaka wa tatu?
JIBU: Hawajalazimishwa kufanya kusoma mwaka wa tatu, kama anaaka kusoma lazima alipe ada
SWALI: Malalamiko ya Wanafunzi pia ni kwanini walipe ada wakati huo wanarudia mitihani, inamaanisha akifeli mitihani ya marudio na ada inakuwa imeenda, lipoje hili?
JIBU: Hilo ni juu yako unatakiwa kumaliza masomo na kutimiza vigezo, mbona hata vyuo vingine wanafanya hivyo, unataka Kwenda mwaka mwingine bila kulipa ada!
katumwa huyo🚮Hao wanafunzi ni takribian mia tano na wote wamelipa ada
Hivi kwa akili timamu unaamini kua wanafuzi wote washindwe kutimiza mahuzurio hayo ni utetezi wao tu chuo hakuna ukwli hapo yani hakuna hata mwanafunzi mmja alietimiza mahuzurio ..na usipotimiza mahuzurio hutakiwi kukaa kwenye mtihan wala unakua sio eligible student sasa wanafunzi wote waliofanya mtihan wametimiza mahuzurio na waliokua hawajatimiza mahu
Hajatumwa! Hilo suala ni for sure tuna hudhuria vipindi. chief ali verify na akuturuhusu.katumwa huyo🚮
Nilichoshangaa anasema tunalaumu chuo wakati hakuna anachojua!!!Hatujui tuanze wapi !
Yani serekali kama kupitia TCU au vyovyote vile hiki chuo ambacho hakina hata communication kipindi hiki cha matatizo na wanafunzi wake ni lazima kiangaliwe tena hapa kwenye usajilit wake.
Ni haki ya msingi kikatiba kuongea na kusikilizwa ilimradi hauvunji sheria, laminitis Kampala hapa tukiwauliza tu hata kwa vikao wana tutishia kututoa nje ya vikao, hii nidhamu ya woga ni wrong sana!
Kuna wanao laumu tumechagua chuo kibaya lakini turudi tena TCU hapa kwenye hiki kipengele, naiwezekani ma
Hajatumwa! Hilo suala ni for sure tuna hudhuria vipindi. chief ali verify na akuturuhusu.
Musiwe munaomba kudahiliwa kwenye vyuo vya vya kisenge Kama hivyoChuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna msaada.
Yani wanafunzi wote hao tuwe watoroChuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna msaaday
Mnakwenda shule kuchezea? Mahudhurio yanakuwa aje hafifu hadi unakosa sifa ya kufanya mitihani? Mbio kulaumu chuo!
Mtoa mada kajipendelea tu ,HAKUNA Diploma ya udaktari ,sema maCO wanavimba kujiita Madaktari badala ya Maafisa Tabibu
Kwa kuzingatia yalee yalio tokea awali niwape Rai wahitimu wa kidato Cha sita, Cha Nne ,walee wa Certificate na wanaotaka kuendelea na Diploma au kozi nyingine ya Science ya Afya wakiepuke chuo hicho Kama ukoma.Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna honestly kabisa, Kwa Maoni yangu ya Kizalendo Chuo Cha KIUT Gongo la mboto. Hakina Hadhi nahisi pia hata sifa za kuwa Chuo kikuu kinacho offer Degree yoyote ya Science ya kada ya Afya.
Clinical Officer(Maafisa taabibu) maalufu Kama CO.Diploma ya udaktari ndiyo upoje?
Hao ni wanafunzi wa Diploma (Stashahada) wako Chini ya baraza la Vyuo vya Ufundi(NACTE) na Wizara ya Afya Chief. TCU haihusiki na misalaba yao. Na ukirejea maelezo yake anaesema wamesha onana na Wizara ya Afya ambayo ndio Ina coordinate mafunzo na Mitihani na imesema kwao hakuna shida ni green light shida iko chuoni.Hiyo incomplete imesababishwa na nini, maana kama mme clear sioni logic ya kujaziwa incomplete.......jaribuni kuwaona TCU
Maana ya incomplete maana yake ni mwanafunzi hajakizi vigezo kufanya mtihan wa mwsho ila wanafunzi wamekizi vigezo na wamefanya mtihan wa mwisho ila matokeo ya wanafunzi wote yameletwa kama hayajakizi vigezo hakuna solution yeyote waliochukua isipokua kuwagawa katika makundi mawili
Ni vizuri kuwa makini wakati wa kuchagua Vyuo vya kusoma, maana Vyuo vingine kama hiko KIU hata waajiri wakiona tu Cheti chake wanatupa kwenye dustbin!!naongea kwa uzoefu kwa sehemu 3 tofauti nilizojitolea Idara ya HR
🤣🤣🤣🤣Kumekucha naona Siri za jandoni zinamwaga barabarani. Huwa siamini vyuo vyote vya dar isipokuwa MUHAS na UD tuuuSio kweli Academic register anachoongea coz three days before NACTE examination walifk kwa ajili ya kufanya verification kama wanafunzi wako verified kufanya exams or not, na baada ya apo watu wakawa selected kufanya mitihn although sio wote coz wengn waliambia wana incomplete kabla ya mtihn. Sasa issue ya attendance inatokea wap apo na kwann kama wameona mahudhurio ni sabb wakaamua kuturuhusu kufanya mtihn..!? Kampala you guys you are not serious..tunataka sababu ya incomplete and by the way hakuna mwanafunzi alofanya fujo ata mmoja coz namba za mtihn zenyew mlitupa usiku wa kuamkia day ya exams na fujo izo zimefanyika mda gn...Kampala tell the truth and be honest kwakwel
🤣🤣🤣🤣🤣🤣So kiufupi ukubwa wa Ada na Ujinga wao vinalingana au sio Mkuu..??Kuna hicho chuo cha kampala na kuna hiki KAM COLLEGE hapa kimara sijui vinangoja nini hapa duniani,
Mana ada kubwa alafu ujinga ni mkubwa.