Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

Upumbavu huo upo SAUT Mwanza pia,, unapata Incomplete wakati umekidhi kufanya pepa. Ni ujingaaa mtupuuuu.
 
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
do not pay, ushenzi huu vyuo vya kati vya afya wanao sana. machame is an example. Unaingia mwaka wa tatu ukishindwa ku clear wanakufukuza na kula hela zako. Machame wamefanya sana wizi huu. faneni mgomo mamlaka zishituke.
 
Elimu ya Tanzania na third world countries ni Utapeli

Over!
 
katumwa huyo🚮
 
Hatujui tuanze wapi !
Yani serekali kama kupitia TCU au vyovyote vile hiki chuo ambacho hakina hata communication kipindi hiki cha matatizo na wanafunzi wake ni lazima kiangaliwe tena hapa kwenye usajilit wake.
Ni haki ya msingi kikatiba kuongea na kusikilizwa ilimradi hauvunji sheria, laminitis Kampala hapa tukiwauliza tu hata kwa vikao wana tutishia kututoa nje ya vikao, hii nidhamu ya woga ni wrong sana!
Kuna wanao laumu tumechagua chuo kibaya lakini turudi tena TCU hapa kwenye hiki kipengele, naiwezekani ma
katumwa huyo🚮
Hajatumwa! Hilo suala ni for sure tuna hudhuria vipindi. chief ali verify na akuturuhusu.
 
Nilichoshangaa anasema tunalaumu chuo wakati hakuna anachojua!!!
 
Musiwe munaomba kudahiliwa kwenye vyuo vya vya kisenge Kama hivyo
 
Naomba kueleweshwa Diploma ya udaktari ikoje? Ni kama Clinical Offier?

BigTall
 
Jamani Kwa kweli kamapala ni matapeli na waongo ,,mana hizo sababu zinazotelewa zote ni uongo sana..
Wewe external amekuja ametukagua na akaona kabisa tunafaa kufanya mtihani na wale ambao hawakukidhi vigezo pia list Yao ilitoka na hawakufanya kweli na Wala hakuna fujo iliyotokea pale chuo
Leo hii mtu anasema wanafunzi wote hatukukidhi vigezo na tulikuwa tunajua sema tukaforce huyo ni muongo adi muongo Tena
Unataka kusema wanafunzi wote tungekuwa watoro walimu wangekuwa tayari washareport hilo swala department
Wengine hatujawahi kumis ata kipindi kimoja Leo unanambia attendance yangu mbovu kweli na Bado unanisainisha ni kubari kulipa ada na matokeo yakitoka mabovu iwe imekula kwetu
Yani huu ni wizi was wazi wazi
 
Yani wanafunzi wote hao tuwe watoro
Embu fikiri kabla ya kuongea kwanza
 
Kwa kuzingatia yalee yalio tokea awali niwape Rai wahitimu wa kidato Cha sita, Cha Nne ,walee wa Certificate na wanaotaka kuendelea na Diploma au kozi nyingine ya Science ya Afya wakiepuke chuo hicho Kama ukoma.
Licha ya kutoa Elimu ya Taaluma nyeti ya Afya kwa kiwango Duni pia haina mfumo Mzuri wa Uendeshaji(Management).
Kama umekosa selection Vyuo vingine ni Bora uwe mvumilivu na Uvute Subira au ufanye maamuzi Mengine kuliko either kupoteza muda na fedha au kuwa Sehemu ya Udidimizaji wa Taaluma ya Afya kwa kutoa huduma Duni kwa sababu ulipatiwa Underrate training ukiwa Mafunzoni..
 
Diploma ya udaktari ndiyo upoje?
Clinical Officer(Maafisa taabibu) maalufu Kama CO.
In such sio Udaktari,maana by Logic hakuna "Diploma ya Udaktari" Tanzania au Duniani kabisa
 
Ha
Hiyo incomplete imesababishwa na nini, maana kama mme clear sioni logic ya kujaziwa incomplete.......jaribuni kuwaona TCU
Hao ni wanafunzi wa Diploma (Stashahada) wako Chini ya baraza la Vyuo vya Ufundi(NACTE) na Wizara ya Afya Chief. TCU haihusiki na misalaba yao. Na ukirejea maelezo yake anaesema wamesha onana na Wizara ya Afya ambayo ndio Ina coordinate mafunzo na Mitihani na imesema kwao hakuna shida ni green light shida iko chuoni.
So hapo wenye shida ni Chuo na wanafunzi
 
Inavyo onekana Kuna Kitu hapo Chuo kinacho husu wanafunzi hakikuwa submitted na Kama kilikuwa submitted Basi kilikuwa na shida mahali. Angalien vizuri, procedure book zenu, log book na au Assignment ni vitu vidogo ila very potential.
Nakumbuka mwaka fulani chuo fulani more than 50+ student walishindwa kuendelea na Masomo kwa muhula husika kwa Issue ya Procedure book za Rotation kutokuwa filled appropriate.
Kama mnaweza ombeni Guidance ya Wizara na NACTE Wawa ambie changamoto ya kila mtu ili msolve na Chuo ila hapo kuendelea na 3rd Yeah ni kutwanga Maji kwenye kinu maana Level ya Diploma hakuna kucarry so nilazima uwe clean ulikotoka ili kuweza kuendelea mbele.
Poleeni Sana Wataalam 😢😢
 
Uko sahihi San aisee. Good Selection of Studying institution ni Muhimu Sana. Kuna Taasisi za Elimu na baadhi ya Vyuo hapa Nchini by Default tu hasikushawishi kuajiri Graduaters wao.
Maan cheti na kichwa vina vitu viwili tofautii.
Kwa Sasa Elimu Tena ya kozi za Jada ya Afya imekuwa biashara inayolipa vizuri hivyo magumashi yamekuwa mengi Sana Mjin
Ni vizuri kuwa makini wakati wa kuchagua Vyuo vya kusoma, maana Vyuo vingine kama hiko KIU hata waajiri wakiona tu Cheti chake wanatupa kwenye dustbin!!naongea kwa uzoefu kwa sehemu 3 tofauti nilizojitolea Idara ya HR
 
🤣🤣🤣🤣Kumekucha naona Siri za jandoni zinamwaga barabarani. Huwa siamini vyuo vyote vya dar isipokuwa MUHAS na UD tuuu
 
Kuna hicho chuo cha kampala na kuna hiki KAM COLLEGE hapa kimara sijui vinangoja nini hapa duniani,

Mana ada kubwa alafu ujinga ni mkubwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣So kiufupi ukubwa wa Ada na Ujinga wao vinalingana au sio Mkuu..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…