Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

Na kwann mnasoma kwanza
 
Hiki chuo...
MUNGU IBARIKI TANZANIA ! Siwaelewi hata wanaoking'ang'ania ni aje ?
Mara kifungiwe, Mara wameandamqna Serikali TVU haiwatambui, Mara...., Mara.... Ila Bado wapo tu dah.....
 
Musiwe munaomba kudahiliwa kwenye vyuo vya vya kisenge Kama hivyo
Mkuu vyuo vinavotoa kozi za afya ni vichache Tz ukisema kila mtu aangalie vyuo km muhan n.k wengi wao wataambulia kapa... elimu yenyewe ya sekondari imelegezwa zama hizi watoto kila wakigusa waya na wengi wao ndoto zao kuwa madaktari so watu ni wengi vyuo vichache competition ni kubwa ndo maana watu wanaenda vyuo kama kampala..

Fani kama engineering kidogo vyuo vyao ni ving compared na afya ndo maana unakuta dogo kamaliza PCM ana D mbili anaenda kusoma engineering ila PCB ana one ya 9 na MD anaisikia kwny bomba
 
KIU ni janga sijui kwanini wanafunzi wanaenda pale
 
Hivi ukiwa diploma unasomea udaktari?
 
Hicho chuo au shule ya kata, namba ya mtihan mnapewa siku moja kabla.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mwanasheria wa kujitolea nipo hapa twende mahakamani tukafungue shauri sasa 😁
 
Vyuo vya Nje vinavyokuja Nchini inatakiwa wawe bora sana maana wakiamua kuzalisha Wataalamu feki wanaangamiza Taifa miaka ya mbele ni vile hakuna anaejali kwenye Elimu ya juu magumashi yapo mengi sana kwa vijana wetu..
 
Mnakwenda shule kuchezea? Mahudhurio yanakuwa aje hafifu hadi unakosa sifa ya kufanya mitihani? Mbio kulaumu chuo!

Wewe hiki chuo kina matatizo,mdogo wangu alisoma hapo naelewa aliyoyapitia, usitetee chochote hiki chuo ni UOZO MTUPU halafu nadhani kuna viongozi Wizarani na TCU sio mara moja kupokea malalamiko ya hiki anachokisema mtoa mada…..
 
Ikiwezekana ipazwe sauti sana kwenye mitandao kuhusu uozo wa hiki chuo, wanawasumbua sana wanafunzi
 
Kumbe Serikali inatambua kuwa hiki chuo kina magumashi, sasa kwa nini hawawachukulii hatua? Kuwacha hivi kwamba wanaandika barua tu lakini kiuhalisia hawafanyi kile ambacho kinatakiwa kufanywa ni jambo baya.
Wanadhani kama wanatengeneza madaktari feki, wanategemea nini baadaye?
 
Hii chuo Bwana matatizo ya kielim hajawai pata tiba sijui shida ni nini, Kama ni miundombinu wanayo mizuri tu ila nafikili Kuna shida kubwa kwenye utawala
 
Dah Poleni sana
 
Hiko chuo ni chamchongo snaaa......tena snaaan hayaelezeki ya hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ishu imeishiaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…