Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Usiku muda huu watoto wakAlale...au si chipkizi hawa?Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu
Ni watu wengi wanaoomba Uongozi nadhaniMchana walikuwa wapi kufanya uchaguzi???
Chakubanga 2- mihogo 1Nan anaongoza mpaka muda huu
🤣🤣🤣🤣 sasa hivi wanajiita MachawaChipukiz mkalale tupige kura kwanza
DaaahMchuano ni mkali sana
Chama la Church ilo1. Mbowe
2. Heche
3. Sose
4. Pambalu
Nauliza tu kwa nia njema na usitafsiri vibaya.
Moderators weka title hii
Au tuseme hajawi kuwa mzanzibar
Ongezea Wenje ili ufurahi vizuri.1. Mbowe
2. Heche
3. Sose
4. Pambalu
Nauliza tu kwa nia njema na usitafsiri vibaya.
Moderators weka title hii
Au tuseme hajawi kuwa mzanzibar