Kinachoendelea katika Uchaguzi BAVICHA Taifa

Kinachoendelea katika Uchaguzi BAVICHA Taifa

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852

View: https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI

Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu.

Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi huo usiku huu huku zoezi la upigaji wa kura za nafasi mbalimbali likiendelea ndani ya ukumbi

 
unaposema tufatilie uchaguzi wa BAVICHA muda huu..inamaana sahizi usiku ndio wanapiga kura.?
 
Ndugu Lugina anaulizwa swali hapa

Kuwa ni kitendo Gani Cha kishujaa aliwahi kukifanya

Majibu Sasa😂
 
Tunakwenda kuwaletea Chuma Kipyaa huko lumumba mjipange .....Chadema ni chuo zaidi ya Kivukoni
 
1. Mbowe
2. Heche
3. Sose
4. Pambalu

Nauliza tu kwa nia njema na usitafsiri vibaya.
Moderators weka title hii
Au tuseme hajawi kuwa mzanzibar
 
1. Mbowe
2. Heche
3. Sose
4. Pambalu

Nauliza tu kwa nia njema na usitafsiri vibaya.
Moderators weka title hii
Au tuseme hajawi kuwa mzanzibar
Ongezea Wenje ili ufurahi vizuri.

Bazecha Susan Lyimo mwenyekiti, wale Chagaphobia watafute dozi mapema maana watakwenda kupatwa na stroke.
 
Back
Top Bottom