Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi.
Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji.
Tazama video hapo chini, inaonesha matumizi makubwa ya nguvu na vifaa vya kijeshi pia Kuna Waandishi wa Habari wanaonekana kuingia matatizoni. Video nyingine chini zinaonesha Wananchi wameiba gari ya polisi.